and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Kuna huyu jamaa Vincenzo Jr ni balozi wa mtaa huo itakua kamuambia..Asante sana jirani hapa kanyamaza sijui kapitiwa na usingizi, sijui kachoka😁😁
Kuna huyu jamaa Vincenzo Jr ni balozi wa mtaa huo itakua kamuambia..Asante sana jirani hapa kanyamaza sijui kapitiwa na usingizi, sijui kachoka😁😁
Asante mkuu, barikiwa nimeridhika kuwa hapaNataka nikupelekee wewe nikuhamishe huko kwa Walevi wa Mataputapu nikupeleke sehemu nzuri ukalale vizuri hapo usingizi hupati mpaka huyo mlevi pombe zimchukue
Akilewa anawatukana kuanzia pale mlipoishia mchana hivi unamjua mlevi wewe?Hilo suala si kwamba litafanyika muda huo huo, hapa kinachotafutwa ni suluhisho la moja kwa moja kwamba asije kulewa tena akatukana matusi, watamfuata mchana akiwa mzima anaejielewa wamwambie akilewa anasababisha kero kwa wengine.
Sasa hivi ni husiku jirahani njoho hasubuhi😁😁Funguha pihemu jirahani
Ila pombe mwanaharamuAkilewa anawatukana kuanzia pale mlipoishia mchana hivi unamjua mlevi wewe?
Ndio pombe zimemchukua kalala akishtuka tu anaanza tena kutukana hilo jenereta hilo oohoAsante mkuu, barikiwa nimeridhika kuwa hapa
haya jirahani ngocha niraree😂Sasa hivi ni husiku jirahani njoho hasubuhi😁😁
Kumbadilisha mtu ni kazi isiyo n uhakika wa faida ila kujibadili mwenyewe ni biashara yenye faida kubwa.Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂↕️
Walevi nawaelewa na nimewakomesha wengi katika matukio tofauti.Akilewa anawatukana kuanzia pale mlipoishia mchana hivi unamjua mlevi wewe?
Nimehamia hata mwezi sina siwezi kuhama aiseeKumbadilisha mtu ni kazi isiyo n uhakika wa faida ila kujibadili mwenyewe ni biashara yenye faida kubwa.
Focus on change yourself (solution). Change bad location in business worth a lot.
Big man, good luck.Nimehamia hata mwezi sina siwezi kuhama aisee
Mkuu kuna pombe nyingine ukinywa unaweza kujikuta unafanya vituko kesho unaambiwa hukumbuki kabisa, kwahiyo wengine ni makusudi wengine ni kweli pombe zinakuwa zinawaendeshaWalevi nawaelewa na nimewakomesha wengi katika matukio tofauti.
Na nimewadunda wengi tu, nilichogundua akili huwa wanazo ila hujifyatua na kujificha kwenye kichaka cha pombe, hujitetea wamelewa.
Mimi nipo radhi hata nilipe polisi wamnyooshe na pombe zake uone kama atarudia.
Mtaa gani na uongo wakoKuna huyu jamaa Vincenzo Jr ni balozi wa mtaa huo itakua kamuambia..
Njoo ulale Hotel hukuNimehamia hata mwezi sina siwezi kuhama aisee
Naona uko na mimi Sako kwa BakoNjoo ulale Hotel huku
Ndio muda aache aina hio ya pombe ama apunguze unywaji..Mkuu kuna pombe nyingine ukinywa unaweza kujikuta unafanya vituko kesho unaambiwa hukumbuki kabisa, kwahiyo wengine ni makusudi wengine ni kweli pombe zinakuwa zinawaendesha
Urare sarama jirahani😁😁haya jirahani ngocha niraree😂
Kuna kisa kilinitokea kesho nitakiandika, hivi hivi kuhusu pombeNdio muda aache aina hio ya pombe ama apunguze unywaji..
Wengi pombe huwapa ujasiri kufanya mambo ya ajabu lakini wanajielewa...
Ni very rare mlevi kufanya kitu na asielewe anafanya makosa au hapana.
Vincenzo Jr unaulizwa..Mtaa gani na uongo wako