Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.

Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂‍↕️
Shemeji hapo option ni moja tu ahame au uhame..... full stop
 
Back
Top Bottom