Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Ila pombe inaleta confidence za kijinga sana mtu kalewa kutembea hawezi anaanguka tu ila bado anakwambia hunifanyi lolote nitakuua mimi, sasa ona kama huyo mtu unalewa kwa starehe zako unatukana wengine.
 
Back
Top Bottom