MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,740
- 22,905
Duuh Huku umetoka kutongozwa na shemeji huku jirani anakusumbua na matusi, aisee kuna watu mnachangamoto sana
Ni dawa ipi hiyo?Kuna dawa ya usingizi naweza kukusaidia
Acha tu mkuu hizi changamoto kuna watu tumeumbiwaDuuh Huku umetoka kutongozwa na shemeji huku jirani anakusumbua na matusi, aisee kuna watu mnachangamoto sana
Balozi nipo hapaKashtaki serikali ya mtaa, ndio maana ya kuwa na balozi, mwenyekiti n.k
Wewe sikuamini usije kuwa kama shemeji yangu😁😁Njoo kwangu huku full raha kupo kimyaaa. Uta enjoy sana binti
Ipo ila inatakiwa nikupake mwili mzima kwa mikono yanguNi dawa ipi hiyo?
Jirani kumbe hizo kelele nazosikia ni karibu na hapo kwakoHapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂↕️
Nataka nikupelekee wewe nikuhamishe huko kwa Walevi wa Mataputapu nikupeleke sehemu nzuri ukalale vizuri hapo usingizi hupati mpaka huyo mlevi pombe zimchukueAnatukana mwenyewe tu ila sauti kubwa, sipo kilabuni, asante unaweza kumpeleka mwingine huko serena
Hapo ndiyo naona kama ntajisumbuaUnaanza kwa Mjumbe cha ajabu Mjumbe nae akija anawekwa Matusi unamjua mlevi wewe?
Ndiyo jirani 😁😁Jirani kumbe hizo kelele nazosikia ni karibu na hapo kwako
Pole sana 🤣Ndiyo jirani 😁😁
Akimkaidi mjumbe, atakuja balozi na mwenyekiti akikaidi hapo polisi inamhusu, akitoka huko akili imemkaa sawa.Unaanza kwa Mjumbe cha ajabu Mjumbe nae akija anawekwa Matusi unamjua mlevi wewe?
Duh! Sasa. Niwadanganye na hii nipate niniIla Wewe UNAKAMBA😂Kmmke yani wajukuu zako wataenjoy sana na story hadithi njoo, uongo njoo utamu koleza
Basi atakuja pm si muda..Balozi nipo hapa
Mlevi polisi hua hawampokei wanawaambia nendeni mkayamalize wenyewe huko hukoAkimkaidi mjumbe, atakuja balozi na mwenyekiti akikaidi hapo polisi inamhusu, akitoka huko akili imemkaa sawa.
Aje chapuBasi atakuja pm si muda..
Hilo suala si kwamba litafanyika muda huo huo, hapa kinachotafutwa ni suluhisho la moja kwa moja kwamba asije kulewa tena akatukana matusi, watamfuata mchana akiwa mzima anaejielewa wamwambie akilewa anasababisha kero kwa wengine.Mlevi polisi hua hawampokei wanawaambia nendeni mkayamalize wenyewe huko huko
Asante sana jirani hapa kanyamaza sijui kapitiwa na usingizi, sijui kachoka😁😁Pole sana 🤣
Funguha pihemu jirahaniAsante sana jirani hapa kanyamaza sijui kapitiwa na usingizi, sijui kachoka😁😁