chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,695
- 4,947
- Thread starter
- #181
nimekusamehe
Asante, japo nami uwa nina yangu moyoni juu yako basi tu
nimekusamehe
Atajua wapi huyo BRNHivi unajua kuna tofauti ya Challenge na Bias
embu yaifadhi mpaka october 27 halafu uniambie ya moyoniAsante, japo nami uwa nina yangu moyoni juu yako basi tu
embu yaifadhi mpaka october 27 halafu uniambie ya moyoni
Pita kule nyieeee....nini kinawauma hapo sasa ?wasome wasisome mmepungukiwa nini?jana si mmejaza vibaka mtaani wakaishia kutupora pochi zetu na simu kama mgombea wao alivyo ipora nchi yetuuu?Mwaka huu umtatulia tuu...tingatinga litawabetua mpaka mtaomba poooo....Tukutane October na hizo hizo mbwembwe zenu
sawa mkuuKwakweli nitakupm namba ili Oct 27 tutafutane wallahi
clouds ni kituo kupiga soga sana.watangazaji wote form four ziro.waswahiliswahili sana.full umbea na udaku.
Kumbe ndio hili mbona kama linakwadhakoo na kale kaugonjwa ketu
Hapo hapo na wewe ulitakiwa kuzima radio, kwanza nani kakuambia usikilize wakati siku hizi kila ladio inapitia kurasa za magazetini
sawa mkuu
Weeee! WeeeH! Ishia hapohapo mwana wa Ibilisi wewe. Clouds kwa vigezo vyote imejipambanua kuwa ni Radio ya Watu. Hawatafanya kazi ya kutangaza vurugu mlizowafanyia wenye maduka kwenye barabara mlizopita. Hata sisi tusio na vyama tunasikiliza Clouds FM. Mkaoge kwanza kabla hamjaongea, mmeshaambukizwa harufu ya Rushwa za Makapi. Mkomage.
ha ha mkuu duhNimeshindwa nimekutana na Warning Alert