Wanapenda kujipendekeza kwa Jk, January Makamba Rizi na wengineo kibao wa ccm tupa kule.
Ruge ndiye yupo na hao mda wote lakini Joseph Kusaga yeye ni Ukawa Kwa 1000%
Wanapenda kujipendekeza kwa Jk, January Makamba Rizi na wengineo kibao wa ccm tupa kule.
Njaa ni mbaya, watu wanaishi mjini kwa ukuwadi unafikiri wanafurahia maisha. Aibu sana kwa mwanaume kukatishwa viuno namna hii na Ruge
Rege yupo ccm na Joseph Kusaga yupo Ukawa kila mmoja ana Timu yake japo waziwazi hawajionyeshi lakini Gerard Hando huwa ni Ukawa ingawa huzuga kiaina kuwatetea ccm .
Wahuni tu hawa wajingawajinga c ndo walioandaa umoja feki wa wasanii kumpongeza msanii mwenzao
hawa watu wamegoma kusoma magazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kila mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.
Kweli clauds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''magufuli ushindi wa tsunami''
kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za ccm.
hando ndo nani??
SHIDA YAO WANA MASLAHI YA CHAMA,Bila kujari Maslahi ya NCHI. ''Lazima wakumbuke, na Wajue kuwa MUNGU NDIO ANAE TAWALA SIO CHAMA FULANI''. Hapo walikosea na hawana jipya
Gerald yupo UKAWA wakuu. Anafanya hivyo ili kulinda kazi. Tusimlaumu sana makamanda.
ndiyo mkuu
nitakuchekisawa mkuu, basi nicheck ww nitumie what's app na.
nitakucheki
Nasikia Mbowe amelazwa muhimbili