Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7,730
Reaction score
5,013
Hawa watu wamegoma kusoma magazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.

Eti wanasema kilichotokea jana kila mtu alishuhudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.

Kweli Clouds?

Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la CCM). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa Clouds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
 
Hawa watu wamegoma kusoma nagazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kils mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo. Kweli clauds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za ccm.
Ndoroboooooo
Unasikiliza Clouds ipi? Mbona wanatangaza.
 
Hando ni tatizo,PJ mtu mwenye msimamo huwa anasoma bila ubaguz nahisi kuna shinikizo ndio maana leo hajaja,na mood yao ya leo ya usomaj tofaut kabisa.fredwar kapiga kimyaaa
 
Ni wa tz wangapi wanasikiliza clouds!? Few, wacha waendelee mweki wa kumi watageukia upande wa pili,
 
Hawa watu wamegoma kusoma nagazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kils mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo. Kweli clauds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za ccm.
Ndoroboooooo

Acha hizo wewe au umekuja kuipromote clouds humu.Hando amesoma gazeti la Uhuru, Tanzania daima na anaendelea kusoma magazeti mengine.
 
Leo eti anajifanya hawezi kusoma magazeti zaidi ya Uhuru na habari Leo..Kisa mengine yote yameandika habari za lowwasa.
 
Gerald Hando kajishushia hadhi saaanaaa...nilikuwa namkubali ila kwasasa simukubali tena na kama anadhani atapata shavu la CCM basi imekula kwake
 
Back
Top Bottom