Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

Nikiangalia ulivyoandika nadhani ni kijana uliye shule ya sekondari.. maana hata kilichoandikwa hujaelewa, tunachosema ni kuwa mtangazaji asiwe bias. Kama ana magazeti 6 au 7 au hata 10 basi asome habari pasipo kuchagua, na asome kama ilivyoandikwa. Unapochagua magazeti na ukachagua baadhi ya habari ambazo zinasimamia upande flani sisi wadau tunaona ni wendawazimu.

Af Wabongo Bhana Yan Chanel Ikienda Against Nyny Kdg Bax Tatizo..Mlianza Na Tbc Oh Inapendelea Ccm Hamuiangalii,mkaja Itv Oh Imenunuliwa Kisa Magufuli Kaisifia, Channel 10 Mkaisema Et Kisa Imemleta Polepole Kaiponda Chadema, Startv Nayo Kisa Mmiliki Wake Ccm Inaibeba Ccm,sasa Hv Clouds Sasa Nyie Kp Mtakipenda?Yan Mnataka Mda Wote Msifiwe Nyie 2,mda C Mrefu Azamtv Nayo Mtaanza Kuisema,tubadilike Jaman...
 
Yaani UKAWA kama watoto hawataki kuwa challenged. Wanataka kila mtu awe na mawazo kama yao. Ndio maana mgombea wao alivyopingwa/katwa akahama. We should build a self system of absorbing shocks and challenges we dnt need to cry over everything like kids
 
Ameshindwa kufufua matumaini ya wamasai, ya Watanzania atayaweza?Pesa sio kila kitu ktk maisha...Tafakari!
 
Af Wabongo Bhana Yan Chanel Ikienda Against Nyny Kdg Bax Tatizo..Mlianza Na Tbc Oh Inapendelea Ccm Hamuiangalii,mkaja Itv Oh Imenunuliwa Kisa Magufuli Kaisifia, Channel 10 Mkaisema Et Kisa Imemleta Polepole Kaiponda Chadema, Startv Nayo Kisa Mmiliki Wake Ccm Inaibeba Ccm,sasa Hv Clouds Sasa Nyie Kp Mtakipenda?Yan Mnataka Mda Wote Msifiwe Nyie 2,mda C Mrefu Azamtv Nayo Mtaanza Kuisema,tubadilike Jaman...

mkuu mbona mahovyohovyo ya clouds na washirika wake kina Tbc,startv et al wameanza kusemwa kitambo?????
Bora Hata startv hao ckumbuki Mara ya mwisho kuwafuatilia
 
Nasikitishwa na kukerwa na hawa watangazaji wa baadhi ya radios hasa pale wanapoonyesha hisia zao za kiasiasa waziwazi na hata kuwa bias wanapotoa taarifa. Hasa nikizungumzia kituo cha radio cha clouds fm katika kipindi cha asubuhi ambacho kianendesha na huyu kijana aitwaye Gerald Hando.

Huyu mtu amekuwa wa hovyo sana hasa kwa kubagua magezeti ya kusoma, lakini kwa magazeti machache anayosoma anadiriki kusoma mambo machache tu ambayo yanaki-favour chama tawala. Mwanzake Paul James amekuwa mjanja zaidi kwa kujiweka pembeni (huenda hataki kuonyesha hisia zake), lakini huyu Hando anaamua kujitoa mhanga kwa kufanya wendawazimu huo.

Tunaamini si radio ambayo inamilikiwa na mwanasiasa au kuwa katika mlengo flani wa chama, tunadhani ingekuwa vyema kusimama katikati pasipo kubagua nini usome na nini usisome. Mbona mwenzie Godwin Gondwe pamoja na kushiriki ktk kura za maoni kwa tiketi ya chama tawala kwa tiketi ya Ubunge lakini akiwa anasoma habari huwezi kutambua kama ni mtu ambaye yuko chama flani. Hii ina maana kuwa na-practice professionalism.

Vijana wa kihuni kama hawa Kusaga angetimua wote, ingawa najua Kusaga pia ni walewale!

Nawasilisha!

Jamani,redio ya watu kwa ajili ya WATU WA CCM,msiwalazimishe kutoa habari zenu!!!!!!!!!!!Ni Branch ya UHURU na MZALENDO.Poleni kwa kukwazika..........
 
Yaani UKAWA kama watoto hawataki kuwa challenged. Wanataka kila mtu awe na mawazo kama yao. Ndio maana mgombea wao alivyopingwa/katwa akahama. We should build a self system of absorbing shocks and challenges we dnt need to cry over everything like kids

Kama kiingereza hukijui tumia lugha uijuayo vizuri.----- we!
 
Yaani UKAWA kama watoto hawataki kuwa challenged. Wanataka kila mtu awe na mawazo kama yao. Ndio maana mgombea wao alivyopingwa/katwa akahama. We should build a self system of absorbing shocks and challenges we dnt need to cry over everything like kids

Hivi unajua kuna tofauti ya Challenge na Bias
 
Clouds fm & tbc ovyo shida ya kupeana kazi kindugu watendaji wake hata usishangae,fanyeni kazi kulingana na taaluma yako ila mkifukuzwa huko mtaisoma namba
 
Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba, hao clouds waache kuchambua gazeti la uhuru kisa hawajaandika stori ya Ukawa? Mbona wametoa ripot kuhusu mbowe, mbona wametoa stori za ukawa. Ila kusoma gazeti la uhuru imekuwa nongwa. Clouds haijengwi na maneno ya mitaani zaidi weledi wa kibiashara.
 
Hawa watu wamegoma kusoma nagazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.

Eti wanasema kilichotokea jana kils mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.

Kweli clauds?

Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
hawalipi kodi,branch ya ccm ile
 
TATIZO HAWA WATANGAZAJI WA CLUDS TV NA RADIO HASA WA VIPINDI VYA 360, POWER BREAKFAST na JAHAZI NI MALIMBUKENI, WANAJIFANYA “MUCH KNOW” ETI WANAJUA KILA KITU. WANADHANI KILA WANACHOONGEA WAO NDIYO SAHIHI.

Katika kujua kila kitu nadhani hawana tofauti na mjinga mmoja wa magic fm na hasa kwenye amka na magic anaitwa Kibwana dachi, naye kakaa kishabiki sana hasa ccm na serikali bila kuwa fair kwa wapinzani
 
Kama unazungumzia leo tarehe 11.8 wamesoma habar za lowasa na aliyezisoma ni gerald cio pj..tena amesoma karibia magazeti yote yenye habar hzo..mnyonge mnyongeni.

Nadhan ww ni mmoja wao, acheni kutumia media zenu vibaya wajinga ninyi hamjisikilizi na kujitazama wenyewe. Au tangazeni kuwa ccm pekee ndio wasikilizage Radio na Tv zenu.
Tulikuwa tunakutafuta ww
 
Mbona wamesoma mkuu

Nadhani ninyi mnamkondo wenu tofauti. Hebu Tazama kuna thread zaidi ya mbili humu, zinalalamika jambo hilo hilo kwa leo. Niambie tumetunga wote. Na kwanini iwe coincidence kama tumetunga. Tafiti mkuu, sibishani nawe wamesoma(Uhuru na the likes)
 
Pita kule nyieeee....nini kinawauma hapo sasa ?wasome wasisome mmepungukiwa nini?jana si mmejaza vibaka mtaani wakaishia kutupora pochi zetu na simu kama mgombea wao alivyo ipora nchi yetuuu?Mwaka huu umtatulia tuu...tingatinga litawabetua mpaka mtaomba poooo....Tukutane October na hizo hizo mbwembwe zenu
 
Back
Top Bottom