nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
mkuu wamefanya nini
Huwa wana katabia ka kila mwisho wa taarifa yao ya habari wanaonyesha mwewe na kudai jicho la mwewe limeona hiki mara kile, sasa jana wakaonyesha mwewe anadai watu waliokuwa katika maandamano ya lowassa hawana kazi ya kufanya