Hicho kipindi asipokuwepo PJ kinaboaga sana,ki ujumla namkubali sana kwenye uchambuzi wa magazeti jamaa sio tu anajua huwa anajipanga,hawa wengine wana ustaa wao sehemu nyingine lkn kwenye magazeti nisipomsikia PJ najua hamna kitu.Mara nyingi huwa ananichelewesha kazini sababu ya kumsikiliza, hata hivyo team nzima ya PB naikuli wamechangamka.
Hawa watu wamegoma kusoma magazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kila mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.
Kweli clauds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
ha ha mkuu duh

ndiyo mkuuNadhani umeiweka hivyo kwa malengo?
Nimemshangaa sana Gerald Hando, kwa kweli leo kaniangusha sana!! Huyu si ndo aliongoza wandishi wa habari kwenda Dodoma kwa Lowassa siku anaongea na wandishi wa habari? Tena nilimwona kabisa anasimamia kurihusu maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari!! Eti anakimbilia kusoma Uhuru! aibu yako Gerald Hando!!
Umeharibu tu hapo uliposema timu nzima
Nimemshangaa sana Gerald Hando, kwa kweli leo kaniangusha sana!! Huyu si ndo aliongoza wandishi wa habari kwenda Dodoma kwa Lowassa siku anaongea na wandishi wa habari? Tena nilimwona kabisa anasimamia kurihusu maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari!! Eti anakimbilia kusoma Uhuru! aibu yako Gerald Hando!!
Kuna Jamaa anaitwa Hudson Kamoga wa clouds 360 yaani jamaa yuko biased kinoma anasema mafuriko ya jana ni mihemuko tu na haisaidii chochote....they guys is so stupid mpaka anatia kinyaa pia nasikia mkewe ni....
Gerald anatumika kuihujumu ukawa