chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
- Thread starter
- #161
Ile ilikua ni rhetoric.
Ngumu kuelewa lakini.
Kwanini iwekwe kwa Upinzani iwe ngumu kuelewa, why not being straight kama uhuru
Ile ilikua ni rhetoric.
Ngumu kuelewa lakini.
Hizi ndizo athari za kupeana kazi kwa kujuana. Wameokotana tu mtaan kwa vile mtu anaweza kutoa sauti basi kaahiriwa. Hawana weredi wala hawajui miiko ya kazi yao na athari yake kwa taifa. Wawaulize watangazaji Wa Kenya ilikuwaje wakawa implicated kwenye Yale mauaji after election miaka ile walipouanaWatanyooka tu hao clouds cyo enz za tanu tuckilize radio moja me n mwaka cjackia sauti zao
Nasikilizaga uchambuzi wa magazeti radio Maria tu, hawako bias kabisa
kama magazeti mengi na ITV zilivonunuliwa na lowasa, ngependa magufuli akiingia aangalie namna bora ya kumdeal mengi.... mkabila sana. Halipoti taarfa za ACT et kisa ZZK katoka CDM
Hawa watu wamegoma kusoma nagazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kils mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.
Kweli clauds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
Kwa wale wasiomjua ni huyu hapa.
View attachment 275255
Jamaa ni hatari sana kwa kupiga mizinga, ni ile type ya kina Yahaya aliyeimbwa na JDee. Na nafikiri akifanyacho ni kama kile wafanyacho Buk7 wa JF
Hapo hapo na wewe ulitakiwa kuzima radio, kwanza nani kakuambia usikilize wakati siku hizi kila ladio inapitia kurasa za magazetiniHawa watu wamegoma kusoma nagazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kils mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.
Kweli clauds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la ccm). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clauds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba, hao clouds waache kuchambua gazeti la uhuru kisa hawajaandika stori ya Ukawa? Mbona wametoa ripot kuhusu mbowe, mbona wametoa stori za ukawa. Ila kusoma gazeti la uhuru imekuwa nongwa. Clouds haijengwi na maneno ya mitaani zaidi weledi wa kibiashara.
UNCLE TOM. Hujui usemaloAf Wabongo Bhana Yan Chanel Ikienda Against Nyny Kdg Bax Tatizo..Mlianza Na Tbc Oh Inapendelea Ccm Hamuiangalii,mkaja Itv Oh Imenunuliwa Kisa Magufuli Kaisifia, Channel 10 Mkaisema Et Kisa Imemleta Polepole Kaiponda Chadema, Startv Nayo Kisa Mmiliki Wake Ccm Inaibeba Ccm,sasa Hv Clouds Sasa Nyie Kp Mtakipenda?Yan Mnataka Mda Wote Msifiwe Nyie 2,mda C Mrefu Azamtv Nayo Mtaanza Kuisema,tubadilike Jaman...
utaniona mkuu usijali..
tulia wewe bwana mbona hivyo..Kasema akuoe mkuu sio akuone
tulia wewe bwana mbona hivyo..
nimekusameheHa ha ha ha basi sorry! Umenisamehe?