Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

Hivi nawe ushakuwa mjukuu wangu kumbe.....kuna dada kaniita mwanamke asee...sasa sijui bibi yenu ananimega kwa vidole?[/QUOTE]

Sikutegemea kama utanikana hadharani umesahau makubaliano yetu ya thanks???
 
Mkuu, nimetumia sana mitandao mingi ya kijamii ila nikutaarifu tu kwa uzoefu wangu hapa JF, wadada wa hapa wana busara sana na wamekaa kikazi zaidi hawaendekezi hayo mambo hata kidogo. Atakekuja jf kuleta utoto kwa dada zangu ajue watamuumbua tu. Nawweza kusema kuwa wanajiamini ndo maana wametulia!
 
Mkuu, nimetumia sana mitandao mingi ya kijamii ila nikutaarifu tu kwa uzoefu wangu hapa JF, wadada wa hapa wana busara sana na wamekaa kikazi zaidi hawaendekezi hayo mambo hata kidogo. Atakekuja jf kuleta utoto kwa dada zangu ajue watamuumbua tu. Nawweza kusema kuwa wanajiamini ndo maana wametulia!
Naona nazidi kupata mawazo tofauti,,
 
Ina maana walio humu wote ni wake za watu?

Kuna singles wengi tuu ila as usual wadada hatupendi serious matters tunapenda forum za mashauzi, ukiona mdada ameanza kuwa interested na serious issue na maturity in age inakuwepo! I av never had facebook ac n sina plan kwa ss kwa sababu most one night stands zatoka facebook, napendaa JF as nina hide my real me so si rahisi mtu kuanza upuuzi, watu badala ya kwenda ohio wanashop for pleasure mitandao ya jamii! mtazamo wangu huo!
 
Mimi mwenyewe kuna siku nakuwa mwanamke kuna siku ni mwanaume.Utachemsha upatwe wewe.
 
Hizi ID na Avatar za humu unaweza ukatongoza hata ndugu yako bila kujua,heri kuwa makini.
 
I like this comrade Rev!!!! najaribu kufikiria jinsi walivyojirahisi kutoa contact ni hivyo hivyo watakuwa rahisi kukubali appointment za faragha, ndio hapo watakapojuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kukufahamu.


Kuna siku nitaanzisha thread ya vijogoo vilivyoshobokea ID zangu za kike na kutongoza.....Kuna watu na viatu JF....kuna njemba hutoa majina yao, namba na contact kirahisi sana.....Kuna mtongozaji maarufu pia...ID zangu 6 zote karusha ndoano.....crazy world, every one is dying for cheap sexy and love.
 
Nachojua mimi wanawake wanaopatikana huku JF ndio walewale wa huko FB, lakini wale wa FB sio wote wanapatikana huku JF!!
 
Ni rahisi kumgundua mtu kama ni mwanamke au mwanaume hapa JF, kwa kuangalia tu the way anavyojiexpress unapata picha moja kwa moja kama ni mwanamke au mwanaume, otherwise awe na jinsia mbili kama vile mash oga
duu! hermaphrodites ni mashoga! hii kali.
 
Kuwa makini walio wengi JF ni wanaume na wanaID za kike kwa sababu ya anonymity! Mch nina ID za kike kama 6 hivi ila siwezi toa namba zaidi ya chat na kudanganyana.....ukiniweka kona ninaishia zangu. Binafsi siwezi mzimikia ghost name napenda ana kwa ana hizi internet zina uwongo sana....unaweza ambiwa navaa size 12 kumbe mwenzako ni big mama size 22! Be careful

Mchungaji umeamua kunianika hadharani?? lol nimekoma mie, nimekoma hasa na ndio maana nakiri hapa nimekoma......... yaani ulivyoiweka hapa baba loh...................... kweli una experience
 
Back
Top Bottom