Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

Urahisi wa kumpata mtu unaendana na uhitaji wa mtu na sio wapi umempata au vipi umewasiliana nae.Hata facebook/bar/mtaani ukikutana na mtu asiyehitaji mahusiano lwa wakati huo iwe ni kwasababu anayo tayari na hataki kubeba vidumu au hanayo ila ameamua kujipumzisha huwezi kumpata iwe kirahisi au kwa ugumu kama kubeba zege.

Aliye tayari tayari hata mkikutana kwenye dalaladala itakua rahisi kwake kukukubali kutokama na uhitaji wake.Hivyo hata hapa inawezekana wakawepo au wasiwepo....yote inategemea akili na utu wa mtu na sio Forum ya Jamii.

Lizzy, kama kawaida yako, you have said it, almost all.....
 
acha uvivu kijana, changamka bana,
mbona mie nilipata kama watatu hivi,
na mambo yakaenda sawa bin sawia,
yanawezekana bana.............................

hahaha mkuu naona wanakushambulia poleee..
heb nipe mmoja basi???
 
Hapa bwana!!Sipati pcha, it seems like al-shabab ukijichanganya miguu train imekupitia hapa chuo!! huko ulikokuwa hizo ni socialnet za kidhungu mission zao za kudate hapa ni THE GREAT THINKER THINK BIGGER!Ukijana ukware wako utapiga marktime sana Narudia hapa chuo hawadanganyiki!Sikukatishi tamaa na kupa fact mkuu!!
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

Kuwa makini walio wengi JF ni wanaume na wanaID za kike kwa sababu ya anonymity! Mch nina ID za kike kama 6 hivi ila siwezi toa namba zaidi ya chat na kudanganyana.....ukiniweka kona ninaishia zangu. Binafsi siwezi mzimikia ghost name napenda ana kwa ana hizi internet zina uwongo sana....unaweza ambiwa navaa size 12 kumbe mwenzako ni big mama size 22! Be careful
 
Wala hukupaswa kuuliza "experience" ya wengine hapa kabla ya kueleza ya kwako kwani inaonesha wewe ni gwiji wa uchakachuaji kwenye mitandao ya kijamii. Hebu tueleze uzoefu wako hapa, ni sawa na facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace?
 
Jidanganye kwa watu wanavyojiexpress utakutana na mwanaume mwenzio ndo utajua JF ni nini.

Muulize NN na Rev Masanilo wana ID ngapi za kike na za kiume

Msome Rev. Masa hapa chini

Kuwa makini walio wengi JF ni wanaume na wanaID za kike kwa sababu ya anonymity! Mch nina ID za kike kama 6 hivi ila siwezi toa namba zaidi ya chat na kudanganyana.....ukiniweka kona ninaishia zangu. Binafsi siwezi mzimikia ghost name napenda ana kwa ana hizi internet zina uwongo sana....unaweza ambiwa navaa size 12 kumbe mwenzako ni big mama size 22! Be careful
 
Kuwa makini walio wengi JF ni wanaume na wanaID za kike kwa sababu ya anonymity! Mch nina ID za kike kama 6 hivi ila siwezi toa namba zaidi ya chat na kudanganyana.....ukiniweka kona ninaishia zangu. Binafsi siwezi mzimikia ghost name napenda ana kwa ana hizi internet zina uwongo sana....unaweza ambiwa navaa size 12 kumbe mwenzako ni big mama size 22! Be careful

Ha ha Mchungaji mbona umegonga penyewe..Mtu anadata na avatar pia jina la Belinda kumbe ni dume la mbegu, job true true!..

Watu wasiparamie ovyo vitu wasivyovijua..Nisimuamini mtu ninaemfahamu halafu niamini vivuli vya JF,nitakuwa nimechanganyikiwa!!..
 
Msome Rev. Masa hapa chini

Kuna siku nitaanzisha thread ya vijogoo vilivyoshobokea ID zangu za kike na kutongoza.....Kuna watu na viatu JF....kuna njemba hutoa majina yao, namba na contact kirahisi sana.....Kuna mtongozaji maarufu pia...ID zangu 6 zote karusha ndoano.....crazy world, every one is dying for cheap sexy and love.
 
huku hakuna mtelezo kama ulivyozoea huku panaitwa ni JF GREAT THNKER hvyo walioko humu sio wanafunzi kama mwingine so hvyo walioweng ni watu mwenye akili timamu ni hlo tuu baaasiii!
 
Ha ha Mchungaji mbona umegonga penyewe..Mtu anadata na avatar pia jina la Belinda kumbe ni dume la mbegu, job true true!..Watu wasiparamie ovyo vitu wasivyovijua..Nisimuamini mtu ninaemfahamu halafu niamini vivuli vya JF,nitakuwa nimechanganyikiwa!!..

You always talk sense my Pal.......
 
Kuna siku nitaanzisha thread ya vijogoo vilivyoshobokea ID zangu za kike na kutongoza.....Kuna watu na viatu JF....kuna njemba hutoa majina yao, namba na contact kirahisi sana.....Kuna mtongozaji maarufu pia...ID zangu 6 zote karusha ndoano.....crazy world, every one is dying for cheap sexy and love.
hahahaaha Rev. naona leo umewaamkia manjemba ya JF..!!
 
Back
Top Bottom