Heeeeeeee inategemea mtu na mtu
kuna wengine si wanakutana humu na kuoana? maana neno alilosema linakwaza sana, pia kuamua kuchakachua ni uamuzi wa mtu binafsiumeonaeeh.....
kuna wengine si wanakutana humu na kuoana? maana neno alilosema linakwaza sana, pia kuamua kuchakachua ni uamuzi wa mtu binafsi
kuna wengine si wanakutana humu na kuoana? maana neno alilosema linakwaza sana, pia kuamua kuchakachua ni uamuzi wa mtu binafsi
Mungu huwakutanisha watu kwa njia nyingi!
Mkuu, nimetumia sana mitandao mingi ya kijamii ila nikutaarifu tu kwa uzoefu wangu hapa JF, wadada wa hapa wana busara sana na wamekaa kikazi zaidi hawaendekezi hayo mambo hata kidogo. Atakekuja jf kuleta utoto kwa dada zangu ajue watamuumbua tu. Nawweza kusema kuwa wanajiamini ndo maana wametulia!
aisee umemjibu vzr sn sina la nyongeza.Urahisi wa kumpata mtu unaendana na uhitaji wa mtu na sio wapi umempata au vipi umewasiliana nae.Hata facebook/bar/mtaani ukikutana na mtu asiyehitaji mahusiano lwa wakati huo iwe ni kwasababu anayo tayari na hataki kubeba vidumu au hanayo ila ameamua kujipumzisha huwezi kumpata iwe kirahisi au kwa ugumu kama kubeba zege.Aliye tayari tayari hata mkikutana kwenye dalaladala itakua rahisi kwake kukukubali kutokama na uhitaji wake.Hivyo hata hapa inawezekana wakawepo au wasiwepo....yote inategemea akili na utu wa mtu na sio Forum ya Jamii.
una PHD ya utongozaji??
Je we ni physic maana hapa gender
Nyingi ni unknown .. ..
Angalia usidanganyike na Avatar pamoja
Na majina...
umejibu vizuri! Zile busara nilizokufundisha naona umeziapply effectively.Mpwapwa shwari kabisa. Balozi wa kijiji anakusalimia.it depends na mtu na mtu...Mi nadhani hapa ichukuliwe kama inavochukuliwa tu mtaani umekutana na mtu basi mkaamua kuchakachuana...ni sandakalawe mwenye kupata apate na mwenye kukosa hivyo hivyo kama unaamua kuingia mnadani!Kumjibu dogo aliyeuliza swali, fuata hatua zote za utongozaji, kuna sredi ya Miss Judith ilikuwa inalizungumzia hili nadhaniMwisho, ukiwa mwanajeshi huwezi kuogopa msituHusninyo habari ya Mpwapwa...
Ha ha Mchungaji mbona umegonga penyewe..Mtu anadata na avatar pia jina la Belinda kumbe ni dume la mbegu, job true true!..
Watu wasiparamie ovyo vitu wasivyovijua..Nisimuamini mtu ninaemfahamu halafu niamini vivuli vya JF,nitakuwa nimechanganyikiwa!!..
Pamoja na fake avatars au id, it seems kuna watu mnajuana humu jf! kwa mfano wengine mnaulizana habari za wapi na wapi au wengine mnagongeana thanks na likes hata kwa mtu anaye comment kwa mfano " Aisee pole sana!" utakuta comment kama hii mradi imetolewa na fulani imepewa thanks au like!!. To me hii ni drive ya kujuana zaidi ya avatar au id za jf.
Kwa hiyo inawezekana watu wanajuana kwenye level ya kuchakachuana au hata kama si kuchakachuana but wanajuana in personals!
Usiwajibie wote Dena, wewe unaweza kuwa mmoja ya wanawake wagumu humu! But siyo wote! Kuwa mke wa mtu siyo kigezo cha kutochakachuliwa, tena hao wake za watu ndio kwaanza maharage ya mbeya! Hutumii hata nguvu kubwa!Umetukosea heshima kabisa kijana yaani tunachakachuliwa maana yake ni nini?? Hata wake za watu?? Na wengi humu sio wanafunzi hapa ni kwa Great Thinker sio FB mitandao ya watoto wa shule na kutongozana alahhh
Kweli kabisa!Pamoja na fake avatars au id, it seems kuna watu mnajuana humu jf! kwa mfano wengine mnaulizana habari za wapi na wapi au wengine mnagongeana thanks na likes hata kwa mtu anaye comment kwa mfano " Aisee pole sana!" utakuta comment kama hii mradi imetolewa na fulani imepewa thanks au like!!. To me hii ni drive ya kujuana zaidi ya avatar au id za jf.Kwa hiyo inawezekana watu wanajuana kwenye level ya kuchakachuana au hata kama si kuchakachuana but wanajuana in personals!
Huyu haelewi kabisaexactle sioni kwa nini hii iwe issue
Naomba tujuane mulama ili tugongeane wenyewe kwa wenyewe, ukiwaza hayo humu hutakuwa hata haupost kitu, cha muhimu anangalia watu wangapi wameingia kwenye thread yako na wamepata ujumbe, mengine yaache tu mkuuPamoja na fake avatars au id, it seems kuna watu mnajuana humu jf! kwa mfano wengine mnaulizana habari za wapi na wapi au wengine mnagongeana thanks na likes hata kwa mtu anaye comment kwa mfano " Aisee pole sana!" utakuta comment kama hii mradi imetolewa na fulani imepewa thanks au like!!. To me hii ni drive ya kujuana zaidi ya avatar au id za jf.
Kwa hiyo inawezekana watu wanajuana kwenye level ya kuchakachuana au hata kama si kuchakachuana but wanajuana in personals!
Mmmhhh hilo nalo swali Kabisa unaweza fikiri umeopoa Nazi ya hatari kumbe mhhhh cucumbermmmmmmh, hilo nalo neno, afrodenzi avatar yako ni ya mdada...ila wawezakuwa mkaka eeeh