Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Moja kwa moja huyu anaingia huko Ignore list hahahahahahahahahahahahah
Mchungaji umeniibia password yangu?
Moja kwa moja huyu anaingia huko Ignore list hahahahahahahahahahahahah
Mchungaji umeniibia password yangu?
hahahahaha sasa mwambie tukutane kule kwenye "laki si pesa"Kuna dada mmoja ameniita mi mwanamke mwenzie hommie............. si hatari hii?
Mkuu umefikia kiwango cha kunitusi namna hii? Nilikuwa nakuheshimu sana...............!
Subiri dakika mbiliMuonyeshe kabisa kuwa yuko! hahahahahahahah
Hahahah....pare pareeeeeee pa ukweeeeeehahahahaha sasa mwambie tukutane kule kwenye "laki si pesa"
Hivi nawe ushakuwa mjukuu wangu kumbe.....kuna dada kaniita mwanamke asee...sasa sijui bibi yenu ananimega kwa vidole?Nakusalimu tu Babu habari ya siku nyingi sory kwa off topic
hahahahaha sasa mwambie tukutane kule kwenye "laki si pesa"
Subiri dakika mbili
Acha tu kiongozi kule ndo penyewe...!!haya bana kimey,
mambo ya kanga moko,
ndembendembe!!!!!!!!!!!mtoto hatumwi dukani hapo!!!!!!
Mchungaji hebu fiil kwenye blank hapo........![h=2]This message is hidden because............. is on your ignore list.[/h]View Post
hahahahaha wewe ni noooma!! Kweli Treni haichomekewi!![h=2]This message is hidden because............. is on your ignore list.[/h]View Post
Mchungaji hebu fiil kwenye blank hapo........!
Hahahaha.....listi TIAI!hahahahaha wewe ni noooma!! Kweli Treni haichomekewi!!
Well well..... kumbe saa yangu si mbovu, siyo?[h=2]This message is hidden because Rejao is on your ignore list.[/h]
Well well..... kumbe saa yangu si mbovu, siyo?
Kuna kitu ameposti tena? Nisomee tafazali.......Hahahahahaha jamaa hutakuwa unamsoma ina maana?
Kuna kitu ameposti tena? Nisomee tafazali.......