mke wa mtu ni hatari mbinguni na duniani, hatari tupu.Ooh, hapo nimekupata! Ni hatari kuwa na mke wa mtu! But ukiwa naye kwa umakini nafikiri huwezi kupata madhara! Hutakiwi kumng'ang'ania, unamaliza tu kilichokupeleka kwake then off you go.
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz
Vipi mamy?Kumekucha ..habari za asubuhi Rejao
Bacha nakusalim
karibu, unataka nikuongeze kwenye listi..............?
Afadhali umeliona hilo, Asprin kadai thread imekaa kikike, may be na yeye ni mwanamke!
Mkuu umefikia kiwango cha kunitusi namna hii? Nilikuwa nakuheshimu sana...............!
Ngono ina play great role kwenye maisha ya mwanadamu, ndio maana ukichunguza utagundua kuwa matatizo mengi ndani ya ndoa ni kutokana na ngono! Watu wanauana kila siku kwa sababu ya ngono! Inabidi uope heshima yake plztatizo kila unapopita unawaza ngono.......uchafuuuuuu..hivi hakuna vingine vya kufikirika, in all the social networks only think kuchakachua wanawake, u must be having problem upstairs...
Mpwa huu mkwala wako balaa.......nadhani utaenndelea kutoa heshima!
Narekebisha listi yangu......sijaiperuzi siku nyingi.
Hommie nini tena hapa?Mkuu umefikia kiwango cha kunitusi namna hii? Nilikuwa nakuheshimu sana...............!
Kuna dada mmoja ameniita mi mwanamke mwenzie hommie............. si hatari hii?Hommie nini tena hapa?
Treni haichomekewi hommie.....!!Narekebisha listi yangu......sijaiperuzi siku nyingi.