Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
- Thread starter
- #201
Wow! Hapo umeongea la msingi!Conclusion yenyewe ni hii hapa, inawezekana ila neno ulilotumia, ungesema hivi tunaweza chakachuana humu? jibu inawezekana sie ni binadamu kama wengine, unaweza vutiwa na mtu kwa posts zake ukapenda kuonana nae, mkionana mnaweza anzisha kitu kingine, sio haramu ni maamuzi ya watu tu, watu wanakutana kwenye majumba ya ibada itakuwa humu, wewe vipi???