KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Mmmmh hivi mbona akina ant mudi na anti kessi wa magomeni hawana?
Wao ndo wanahonga.
Mmmmh hivi mbona akina ant mudi na anti kessi wa magomeni hawana?
........ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
nimecheka mathematics form one
Tumeachiwa urithi....
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
Mbona nasika huwa hayo magari hayaadikishwi majina ya hao mademu (hata card ya gari hawapewi) kiasi kwamba wakitibuana tu binti hana chake? Au ni stori tu za mitaani? Au inategemea na mtu na mtu?Kweli H wanaume wengi nikiwemo mm tunathamini sana nyumba ndogo kuliko hata wakezetu! unakuta mzee mzima amekamatwa na kibinti cha miaka 20 kinampeleka balaa mpaka anakabidhi uchumi wote! we acha tu raha za mwili zinatupeleka pabaya!
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
Gari kama range ni zaidi ya Mil 60, kwa umri wa below 30, kweli inakuta umeshapata mapato hadi unanunua laxurius goods? Hapana ndugu!
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
Mmeachiwa na.....
Babu na baba.....
Taratibu ndugu. Wengine wamenunua toka kwa wenzao, hawajaenda TRA kubadili kadi na jina kuogopa gharama.Kasome jina la kwenye card ya gari