Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

wengi wetu ni ya wazee wetu yaani wazazi,boyfrnd,kukodisha na mengne pia tumenunua kwa pesa zetu. Usilalamike pesa ngumu siku hizi na eti pesa imekuwa tabu haipatikani. UNACHOTAKIWA KUSEMA NI MIMI SINA PESA. Wengine tunazooo
 
Papuchi kwa Tanzania ni mgodi wa dhahabu kwa wanaojua kuuchimbisha vizuri hasa wale bongo movie. Migodi hii inapatikana sinza kino migo na mikon
 
Jinsia yakotafadhali mkuu then nami nitachangia mawazoyangu
 
ni batter trade kati ya gari na kinyume cha maumbile.labda uwaulize je gari ina relief vipi kuingiliwa kinyume na maumbile?
 
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

Kuna asilimia ndogo sana juhudi binafsi. The rest ni ufisadi/sex akina Liyumba hao. drugs/sex akina papaa au pedeshee
 
Watu wanagharamia siku hizi sio enzi zile.Demu kuhongwa Range Rover jambo la kawaida.
 
Kuna watu wa Pesa haina mawazo na hasa Wazee Kuna dada 1 Namfahamu ako na Mzee wake kila wk anatupiwa USD elf 4 nakaambiwa muda wwt akiwa na shida Afunguke tu So nataka nimwambie mleta mada kwenye Maisha usishindane na Mwanamke yy anavyanzo vingi ...!
 
Sikia hii .jamaa umri 30. Kamtokea dem kwa zaidi miezi 3 na dem kiumri ni age 18.jamaa kahangaika sana kwa dm.siku jamaa alio kata tamaa na ndio dm kafunguka kwa jamaa,ss jamaa kaanza kumponda dm baada ya kula papuchi,cndo dem kaanza kumtolea liv jamaa tena kwa sauti kubwa`wewee nimekuonea huruma kijana mwenzangu mzigo huu anakula babako huu na ukibisha namwambia umenitongoza tuu uone kama huja fukuzwa kwenu na mshua ako,halaf heri ya dingi ako anayaweza kuliko wewe bwe~@ge kuliko wote na ukitaka kuhakikisha mtajie jina langu baba ako kama haja hamaki.'jamaa halma nusura azipigee .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom