Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

umeshasema wa magomeni anakutana na type za magomeni kukuhonga gari utasubiri sana...

kina Rio hao, kina Joel wanamiliki Magari ya maana Kama Rio ana m Vogue wa maana na dereva juu katafutiwa.... wanakaa masaki hao

Unataka kusema shoga wa magomeni hawezi kukutana na tycoon wa Masaki? Kwani kutoka magomeni kwenda Jackies, Maisha na kwingine ni mpaka visa?
 
sex,drugs,education,family support,thefty,friends,gift and lotary
 
mi mwenyewe honestly natamani tu kuwa na gari tu nikiona binti anaendesha natamani sana..... nawaza hivi na mi kuna siku nitaendesha langu.... am still young I hope nitakua nalo tu

utaendesha muda si mrefu. kikubwa kuwa na malengo na fanya/simamia kile unaamini.
 
Kuna binti namfahamu kahongwa gari na nyumba
 
data umesisitiza hako ka point haya kuna baadhi ya watu wanafumuliwa marinda ndiyo. si wanawake si wanaume kuna sehem nilikua nafanya kazi huyo FMO alikua basha ye anahonga Magari halafu anakugeuza... sa vijana na kuendekeza dhiki ndio wanaachia....

KO hayo mambo yapo
Wewe mdada......ha ha ha ha
 
umeshasema wa magomeni anakutana na type za magomeni kukuhonga gari utasubiri sana...

kina Rio hao, kina Joel wanamiliki Magari ya maana Kama Rio ana m Vogue wa maana na dereva juu katafutiwa.... wanakaa masaki hao

Designer Rio Paul kumbe apigwa upara duuuuh...
 
Kaka utajiri sio rahisi kama watu wanavyozungumza ......kazi kwa bidii ni moja ya matakwa ya kuwa tajiri.kikubwa ni maamuzi magumu
 
FANYAKAZI kwa juhudi na marifa utapewa kulingana na ulivyo usiangalie fulani kapataje prado
 
Unataka kusema shoga wa magomeni hawezi kukutana na tycoon wa Masaki? Kwani kutoka magomeni kwenda Jackies, Maisha na kwingine ni mpaka visa?

pale Jackie's atakutana wachovu wenzake tu.

ukikutana nae ni bahati you socialize na watu wa class yako.. ukitoka magomeni huyo kwenye daladala buguruni wa kuwahonga Magari watapatikana hapo .
 
Mami kwani hao wasio wachovu wanajificha au wanapelekewa nyumbani? Si wanajulikana bata wanalia viwanja gani?
Mind you hapa si kusocialze ni kuuza! So Mteja lazima atafuatwa kokote alipo!...
Mind you na madalali/ wapambe wapo wakinadi biashara!
 
naona tutakesha hapa either wewe umegoma kunielewa mimi au mimi nimegoma kukuelewa wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom