Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

kuna wengine nimewashuhudia wanaokota magari ya maana na ya gharama we wa wapi
 
ukweli ni kwamba wanahongwa baada ya kutoa 0713
 
pale Jackie's atakutana wachovu wenzake tu.

ukikutana nae ni bahati you socialize na watu wa class yako.. ukitoka magomeni huyo kwenye daladala buguruni wa kuwahonga Magari watapatikana hapo .

tatizo la jf kombora linaweza kurushwa kwingine lakini wahanga wanakuwa wengi.

ili kombora lako umenioffend mpaka mimi maana mimi huwa napendaga ile mishikaki ya samaki pale didi's pub opposite na Jack'ies.
 
Kaka utajiri sio rahisi kama watu wanavyozungumza ......kazi kwa bidii ni moja ya matakwa ya kuwa tajiri.kikubwa ni maamuzi magumu

There you are. Corruption, fraud, embezzlement,drug trafficing, prostitution, human trafficing,robbery, etc. Zote zahusika. Loading.......
 
tatizo la jf kombora linaweza kurushwa kwingine lakini wahanga wanakuwa wengi.

ili kombora lako umenioffend mpaka mimi maana mimi huwa napendaga ile mishikaki ya samaki pale didi's pub opposite na Jack'ies.

hahaha No offence brother.......
 
kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa dar, mwanza na arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

wana toa-mbwa mchanaaaaaaaaa......na malipo ya kazi hiyo ni makubwa kiasi cha kununua hiyo makitu....

Vip unataka na wewe wakupeleke uka-toe-mbwa mchana na hasa kwa mlango wa nyumba ya maumbile???....sema ....unatakaaaaaa?....nakuuuliza mboni hujibuuuuu?


Unatakaaaaaaa???......enheeeeee ......uko tayari kutoaaaaaaaa.....mbwaaaaa tena wa kizungu au kiarabu????

Ni hayo tuuuuu
 
Kuhonga hadi gari? papuchi tu! Kweli tuliyo kwenye margin tunapitwa na mengi, ngoja nizisake nitafute train nihonge ili nije kuvunja rekod ya dunia.

hiyo train ukifanikiwa uje unihonge mimi lol.....
 
kiukweli nilipokuwa college udsm nilikuwa naona mabinti kibao mtaan wanadrive, nilikuwa najiuliza sana wanayapataje? somehow naanza kupata hypothesis naweza anzia hapo kupata konklushen
 
hujambo mrembo? hope umeaka salama wewe ndio umebahatika kuwa mtu wa kwanza kusalimiwa na mimi leo na Mungu aibariki siku yako ule mema ya nchi. na wote tuseme amen.

Amen...
leo mi ndio nimebahatika kesho sijui nani atabahatika...
siku njema kwako pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom