Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,666
Unakikuta Mdada mdogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga?

Nikiwa kwenye ki-Starlet changu unapishana na dada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu.

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake.

Hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
 
Back
Top Bottom