Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Unakuta mdada amemaiza chuo ana 23 yrs, akapata kazi kampuni inayolipa vizuri na bado yupo kwa wazazi (nao wapo vzr ki mapato), kiasi kikubwa cha mshahara ana_save, baada ya miaka 5 au 6 anapata kampuni nyingine nzuri zaidi, akichukua mafao yake ya nyuma jumlisha saving, gari zuri lazima apate. ila ni kwa kujinyima na kuwa mbinafsi otherwise ana mtu anayemuwezesha. Wadada under 30 wenye uwezo huo wapo ingawa ni wachache sana.
 
Njia rahisi kamuulize wema vipi alipata Q7audi nahali hana kazi pia Jack vipi aliendesha benzi ndio utajua siri

wema wakishua wewe kakaa nchi za watu miaka kibao au hujui mzee isaack sepetu alikuwa baloz ? tafuta mfano mwengine
 
kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa dar, mwanza na arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!


uchi mpwa uchi mpwa

kama una wako utumie vizuri loh

napita atu
 
"Wanawake tukiwezeshwa tunaweza......"
upo tayari kuwezeshwa?
 
"Wanawake tukiwezeshwa tunaweza......"
upo tayari kuwezeshwa?

Acha kukariri wewe, kama mnaweza kwanini msijiwezeshe bila kusubiri kuwezeshwa? kama mmeshindwa kujiwezesha wenyewe bas hata mkiwezeshwa hamtaweza. piga kazi.
 
Waulize wabunge kama Komba wanafahamu vizuri sana.Ogopa hela ya bure
 
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
Kwani yale mekundu yalikuwa yanatolewa kwa wale wa over 30 years?
 
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

Ndio maana siku hizi binti miaka 25 tu kashazeeka kabisa, matiti yameaa utafikiri alisha zaa watoto watano. Yote hiyo ni katika kutafuta magari. Wako wanaotumia miili yao vizuri ndo maana wanapata magari. Mnakumbuka ile stori ya waziri fullani? Ukiangalia harusi nyingi siku hizi ni yahani hazina mvuto, utadhani watu wanabariki ndoa ya miaka kumi kumbe wanafunga ndoa. Mama keshajizeekea mtuindi huoooo. Huko chini sijui sasa kunakuweje? Uso umekula mkorogo mpaka basiiii. Uliza historia yake huko nyuma unaweza kuvunja ndoa. Kashatumika chapachapa. Hizi ndoa bwana ni tunakula makombo tu. Tena unakuta kashachoropoa zaidi ya mara tatu, kama si kuchoropoa basi alikuwa anatumia vidonge. Hahahahaha

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom