Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Wengi ni za wazazi wao au mabwana zao. Si unajua mabinti wa siku hizi wengi show off kwa wingi.Hata hivyo wapo wanaomiliki ya kwao lakini si wengi ki vile.
 
Ukipewa hiyo PRADO na wewe, utakuja kuhadithia humu umeipataje?

O level nilisoma na jamaa ambaye baba ya alikuwa akifanya Dahaco Enzi hizo. Jirani zao kuna akina mama ambao pia walikuwa Dahaco na mzee wa jamaa. Hao akina mama ilikuwa ni kusafiri nje ya nchi kikazi mara kwa mara. Jamaa ikawa inamsumbua mbona mzee wake hasafiri? Akaamua kumuuliza mzee wake" Baba mbona akina mama Fulani wafanyakazi wenzio kila siku wanasafiri nje?" Mzee akamjibu " Wewe umeshasema ni akina mama jibu gani jingine nikupe?" mwisho wa story.
 
Watanzania tunajua kuzunguka. Angekuwa ameuliza kazi nzuri wamepataje tungejibu elimu.... sasa kauliza hayo magari tunaanza kutoa nahau na kuzunguka mbuyu. Teh!!!
 
Niliwahi kusikia wakina dada fulani wakisema unga umeleta usawa mjini-hakuna cha mtoto wa Masaki au Obey hata wa Tandika na Kariakoo nao siku hizi wanapewa heshima zao!!!
 
kwa wengi mtaji ni viuno vyao babu inamana we huelewi
 
Acheni zenu bana, mbona ize tu pale kwa mzee wa upako aka katapilla aka transformer. Yaani ukienda pale fanya juhudi uonekane kwny tv ukiwa huna, afu after a wk tunakuona ukishuhudia na hammer pembeni.
 
Mi nazani kazi zao tu mana sikuiz watoto wanamaliza chuo wadogo wanapata mikopo kazini maisha yanaenda kwa mwezi anakatwa ila ya kutumia anapata home au kwa mchizi
 
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

unataka waendeshe wakina nani ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom