Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc.

By physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
 
Fanya kazi kwa bidii jiwekee male go
 
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

demu wangu nimemuachia PRADO TX hio ni moja ya njia uko tayari kupewa hata RAV 4!!!! Usishindane na watoto wa kike weweeee!!!
 
Ukipewa hiyo PRADO na wewe, utakuja kuhadithia humu umeipataje?
 
Na Kuvunjika kwa ndoa kuko inversely proportional na umiliki wa michepuko magari kutoka kwa wazee walio accumulate kiuchumi
 
hivi ulivyosikia msingi kiuno uliitafsirije hii kauli ?
 
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!

We ni wa jinsia gani?
 
Ao wamezaliwa kutumia usishindane nao wewe ulozaliwa kutafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom