Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahsha kazi na pia kuepukana na atha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo sana wanaendesha magari makali kweli,ie range, benz, prado etc, by physical apperiance wanaonekana kabisa wako below 30, embu mtupe nasi siri ya kuzipata mapema!
Kua uyaone! Unaambiwa mwanamke kuzaliwa familia masikini it is not your faulty, lakini kuishi maskini wa kulaumiwa ni wewe! Pale wanaume wanapotupa CV, unafuatilia kujua nani ana CV yenye assets! Zen huyo ndio unamkubali. Unaambiwa mwanaume pesa, sura wanavumilia. Samahani lakini!