Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Mkuu kweli amefunguka ila nyuma ya pazia nikwamba moyo wake umesgageuzwa na kuwa mtumwa atakiri yesu atakiri mungu ila bila maarifa [emoji17][emoji850]

Kapotea anae toa bure ni Mungu tena bila sharti ila hapo 100% ni nguvu nyeusi

HAUTA NIELEWA KAMWE ILA YATAFUTE MAARIFA UTAJUA UKWELI
Sheitwani wa jf unatoa ushauri... Maajabu haya
 
Isipokuwa na Yesu wanga hawakuachi salama,mimi kitaa mtoto wangu aliumwa Sana ila Huwa naomba pia,Kuna minyau ilikuwa inakuja scani pindi nikiondoka,ila Kuna Mzee wa kitaa amekata kamba ,ni mtu anajifanya mkarimu Sana ,nilishamwambua Mungu mtu akinitafuta Kwa njia hizo na atangulie
 
Yesu hafanani na Adam. Hajaumbwa kwa udongo na kupuliziwa pumzi. Aliingia na roho yake na ndio sababu hawakuweza kuiua. Alijifufua mwenyewe kwa vile alipata mwili kwa UPE NDO wake mwenyewe Ili kuwakomboa wanadamu.
Kwanza jua roho huwa haifi unaokufa ni mwili roho inauonja umauti ila kwa ilivyoumbwa huwa haifi wacha nikujibu kwa kitabu chako twende kwenye kitabu cha mhubiri(ecclesiastes) 12:7

Mhubiri 12:7
"Nawe vumbi utarudia udongoni ulimotolewa na roho yako itamrudia Mungu aliyeiumba".


🤔 kuwakomboa ulimwengu? Kama nakumbuka vizuri adamu na hawa kabla ya kula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya kulikuwa hakuna kuzaa kwa uchungu wala kutafuta kwa jasho ila waliyapata yote hayo kama laana baada ya kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya huko edeni hata kufa pia ilikuwa laana hii ni kulingana na biblia.

Kulingana na biblia pia Yesu alikuja kufa ili kuondoa hiyo laana i.e kubeba dhambi za ulimwengu mzima sasa kwanini bado watu wanakufa ,why? watu wanazaa na kutafuta riziki kwa uchungu? Hii inatupa maswali haya.

1). Either hiyo laaana haikuwepo means agano la kale ni uongo.

2). Yesu hakufanikiwa kubeba dhambi na laana ya asili( ya edeni) kwa sababu wanawake wanateseka kwa uchungu wa kuzaa na wanaume tunatafuta kwa jasho na bado dhambi zipo pale pale ndiyo maana kuna sala ya toba .
 
Mtu karogwa na ustazi halafu unategemea ustazi mwengine amponye. Mbinu lazma zibadilike. Mi kuhusu imani mtu asiniambie lolote yani. Mungu yupo na uchawi upo.

Watu sikuhizi wanataka matokeo. Sio unaomba bila bila ndio maana hata hao watumishi wamejiongeza kuboresha huduma. Kama mafuta yanaondoa mapepo na maji yanasafisha uchawi mwilini kwanini watu wasiyatumie?
🤣🤣🤣 sawasawa mjuba nakuunga mkono..wasituchanganye. matokeo kwanza. Mimi hata kwa buddha naenda. Nishawahi kwenda kwa mganga wa kihindi. Sitaki kusikia sijui fulani ndio bora hapana nasema. Panaponisaidia hukohuko naruka nako pawe kwa karumanzila, muchungaji, buddha, atheist naruka nako.
 
🤣🤣🤣 sawasawa mjuba nakuunga mkono..wasituchanganye. matokeo kwanza. Mimi hata kwa buddha naenda. Nishawahi kwenda kwa mganga wa kihindi. Sitaki kusikia sijui fulani ndio bora hapana nasema. Panaponisaidia hukohuko naruka nako pawe kwa karumanzila, muchungaji, buddha, atheist naruka nako.
Cha msingi matokeo yapatikane 😀 mengine itajulikana mbele kwa mbele. Maisha ni vita you fight to see the next day or you retreat and die.
 
Back
Top Bottom