Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,159
- 2,309
Au unataka nikushauri nini?Sheitwani wa jf unatoa ushauri... Maajabu haya
Au unataka nikushauri nini?Sheitwani wa jf unatoa ushauri... Maajabu haya
Mimi piaNitakutumia.
Poa.Mimi pia
Hahhh dah umenikumbusha Mkuu.... Kipindi nipo na umri kama wa miaka 7 hivi nilienda home Tanga hapo., Basi mzee nikashikwa na maradhi ya tumbo hasa usiku tumbo linauma balaa hakuna kulala na kibaya zaidi unakuta tumbo linavimba.., ndiyo Mother akaelekezwa kwa Mzee flani basi tulivyofika yule Mzee akafanya mambo yake pale nakumbuka aliweka sufuria yenye maji ya moto na majani nikawa nimefunikwa nijifukize.... Baada ya muda nikajihisi kutapika amini usiamini Nilitapika Chura tena bado alikua mzima kabisa.Kwa njia ya giza.. yani wanakulisha usiku huyo kinyonga..
Wanatumiaga kinyonga au chura
Duuh pole sana mkuu.Hahhh dah umenikumbusha Mkuu.... Kipindi nipo na umri kama wa miaka 7 hivi nilienda home Tanga hapo., Basi mzee nikashikwa na maradhi ya tumbo hasa usiku tumbo linauma balaa hakuna kulala na kibaya zaidi unakuta tumbo linavimba.., ndiyo Mother akaelekezwa kwa Mzee flani basi tulivyofika yule Mzee akafanya mambo yake pale nakumbuka aliweka sufuria yenye maji ya moto na majani nikawa nimefunikwa nijifukize.... Baada ya muda nikajihisi kutapika amini usiamini Nilitapika Chura tena bado alikua mzima kabisa.
That's why mtu akisema uchawi haupo nashangaa maana kwa mazingira ya kawaida unajiuliza huyo chura aliingiaje tumboni?... Lakini mwisho wa siku ni katika mitihani tu haitakiwi ikutoe kwenye reli na kuingia kwenye ushirikina
Huku wanga ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Uogopi kuwaanika hivo huku....[emoji23][emoji23][emoji851][emoji851]
Ndiyo wapo wanaopinga,mawardat Watakuja kupingana na hili lililotokea lakini niseme tuu Mungu anampenda sana
Hayo madudu aliyotapika peleka kwenye madhabahu yakarudishwe yalikotokea
Na mumsaidie kujua kuomba na kuuishi utakatifu yasijekurudia
Chafu tatu dunia ngumu sana hii kama hujajua roho wa kumtumikia kusimama nae
Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu siku zote..... tumepitia mengi nae ametushindia
Kipozeo alisemaga hivo hivo kule unguja.Huku wanga ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako ni jambo dogo,lkn si jambo dogo kama unavyofikiriPoleni kwa kuuguliwa ila Nimesoma huu uzi nikasikitika na jambo hili.
Nyie ni waislamu kutokana na uzi wako mmepatwa na mtihani mdogo tu mnakimbilia kufanya shirki , namaanisha mpaka unaamua kuchukua mafuta ya mwamposa (though haujamtaja kwenye uzi sijajua unahofia nini) na kutumia ukiamini kwamba atapona inamaanisha umeamini kabisa ALLAH (the exalted one) hana uwezo wa kuwasaidia kabisa mpaka mnamshirikisha?
Mkuu si kwamba nina ku cretisize kwa ubaya ila imenisikitisha kuona waislamu nowdays tunauza imani yetu kwa vitu vidogo mno [emoji17] ugueni pole.
Kweli usemavyo,Afya ndiyo mtajiKama hujapatwa ndo utahoji saana juu ya haya mambo, ila kitu pekee chenye nguvu katika ulimwengu wa kiroho ni imani,
Hii ya kuanguka hivi inasumbua sana mabinti rika hilo na hasa kama hajaanza kupata damu ya hedhi, yupo wifi yangu alisumbuka sana na hii kitu akiwa kwenye darasa la sita mpaka form two,mama yake alihangaika vya kutosha, alipoacha shule nayo yakapotea, kipindi hicho mwamposa angekuwepo tungeenda,
Kuna mitihani inakuja vibaya kinachohitajika ni kupona tu sio kingine na hakuna mtihani mgumu kama afya, tunajifanya kutetea dini zetu sababu hatujafikwa ila ukifikwa utaitafuta tiba ilipo iwe kwa shekh au mwamposa,
Kuna jamaa (mkristo)amefariki mwaka jana ila kwa mateso makali nilimuona kwa macho yangu maana dada yake(muislam) ni mpangaji, yule dada alimpeleka kwenye visomo nk na dawa za kiislam, alipata nafuu kiasi na alipofariki alizikwa kiislam, kwao walimsakama sana lkn mi nilimuelewa huwezi kuona ndg yako anateseka ilhali wengine unasikia wanaponea kwa fulani,
Aisee kama hospital tumecheza sana na tumeambiwa hana shida, na kana pesa tushatupa sana ni miaka 3+ sasa tunapambana na hii hali.Nikupe pole, ila tafuteni pesa tiba sahihi dunia hii ni hospitali tu, hizo mambo ya miujiza sijui uchawi uganga ni mambo ya siyo na ukweli wowote
Ndiyo hicho kilichofunguliwa na kukuta funguo kilifungwa haswaKama ni kweli basi dunia ina mambo..icho kilichofungwa ni nini sasa[emoji848] Hamjapata ujasiri wa kukifungua?
AhsantePoleni Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watashindwaKipozeo alisemaga hivo hivo kule unguja.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] Daah usiku wake walimfata banaa....[emoji23][emoji23]
Kuna kitu kinaitwa mtihani pia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watashindwa
Ukiwaogopa ndiyo unawapa njia,wanakutisha kila kukichaKuna kitu kinaitwa mtihani pia.
Jiandae nao ahahaah utawekwa majaribun naomba uwaache tu hap watu na sanaa yao
Kumshirikisha Mola wako mlezi ni kufuru kubwa kuliko chochote kile na mtu akifa hali ya kuwa hakutubia dhambi ya shirki basi huwa hana msamaha kwa Allah (subhanna huwataala) ila kama akitubia na akaachana na hizo shirki moja kwa moja basi atasameheka .hili amelisema Allah (subhana huwataala) kwenye surat anfaal aya ya 38.Kwako ni jambo dogo,lkn si jambo dogo kama unavyofikiri
Sawa,mwenyewe ni mfia dini kindaki,,Kumshirikisha Mola wako mlezi ni kufuru kubwa kuliko chochote kile na mtu akifa hali ya kuwa hakutubia dhambi ya shirki basi huwa hana msamaha kwa Allah (subhanna huwataala) ila kama akitubia na akaachana na hizo shirki moja kwa moja basi atasameheka .hili amelisema Allah (subhana huwataala) kwenye surat anfaal aya ya 38.
Ushauri wanguni usijekurudia kufanya hayo kwa hali yeyote ile mtegemee mola wako fanya ibada kwa wingi amka swala za usiku , achana na habari za masheikh sijui kufuata ruqya (japo imeruhusiwa kisheria) makombe sijui waganga na hata mapadri maana wao wana dini yao na wewe una dini yako AMKA QIYAM LAYL funga omba kweli kweli inshaallah kila jambo litawekwa sawa na yule mjuzi wa yote.
N.b
Dini ni kunasihiana maamuzi ni yako wewe binafsi