Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Mpelekeni hospitalini badala ya kwa waganga njaa na mashehe uchwara watakaowaibieni na tatizo kuendelea kukua. Nenda akafanyiwe vipimo wataalamu waone tatizo ni nini.
 
Vipi rafiki mtoto anaendeleaje? Maana nadhani wote tumepitiwa tukasahau kuulizia maendeleo yake[emoji1545]
Dogo anaendelea visuri,lkn analalamika Kuna kitu tumboni kila akienda haha haitoki na anakojoa sana na leo kasema Kuna kitu kilikuwepo chini ya kitovu kimetoka,kila akikojoa tumbo linapungua,,kiukweli anakojoa sana
 
Mpelekeni hospitalini badala ya kwa waganga njaa na mashehe uchwara watakaowaibieni na tatizo kuendelea kukua. Nenda akafanyiwe vipimo wataalamu waone tatizo ni nini.
Hospital tumeenda sana na tunaambiwa Hana shida yeyote na vipimo vyote kafanyiwa,

Hadi kufikia hapa tulishanyoosha mikono juu,,

Mungu ni mwema coz hatukujuaga Kama yupo na vitu hivyo tumboni,,,yatakwisha
 
Mkuu, mawazo yangu, jitahidi muende sasa kule mlipopewa mafuta na maji wakafanye final touch mtoto akae sawa.
 
Hospital tumeenda sana na tunaambiwa Hana shida yeyote na vipimo vyote kafanyiwa,

Hadi kufikia hapa tulishanyoosha mikono juu,,

Mungu ni mwema coz hatukujuaga Kama yupo na vitu hivyo tumboni,,,yatakwisha
Akili matope kabisa. Yaani Toka lini utumbo wa binadamu ukahifadhi chuma. Muwe mnasoma hata kidogo mfumo wa mwili wa binadamu. Hakuna kitu kinaweza kukaa tumboni Kwa muda mrefu na lazima kitoke tu iwe mdomoni au haja kubwa. Jaribu wewe kumeza kufuri halafu hesabu masala uone kama hujajikuta uko hospitali. Mnaleta vitu vya uongo Ili visaidie nini. Jinsi wengi walivyo na Imani potofu wanakubali tu bila kureason. Hii is only in Africa tu. Ajabu sana
 
Binti nilikufuata kwa nia njema kabisaa nikusaidie ila sijui ukaonaje anyway endelea kumshirikisha Mungu wako mna ndo ulivoamua
 
Hospital tumeenda sana na tunaambiwa Hana shida yeyote na vipimo vyote kafanyiwa,

Hadi kufikia hapa tulishanyoosha mikono juu,,

Mungu ni mwema coz hatukujuaga Kama yupo na vitu hivyo tumboni,,,yatakwisha
Mungu azidi kuwapa subira na kumponya kijana wetu. Pia nashauri msiridhike na hospitali moja au mbili. Kuna rafiki yangu ambaye amtoka India juzi. Alipatwa na tezi dume. Alienda Mlonganzila akapimwa na kuambiwa hana tatizo. Ndani ya wiki mbili hali ilikuwa mbaya na kugundua kuwa kumbe alikuwa misdiagnosized kiasi cha kukimbizwa India alikokaa wiki mbili na kurejea angalau na nafuu. Mzidini kuhangaika na inshallah Mungu azidi kuwasimamia na kuwawezesha.
 
Dogo anaendelea visuri,lkn analalamika Kuna kitu tumboni kila akienda haha haitoki na anakojoa sana na leo kasema Kuna kitu kilikuwepo chini ya kitovu kimetoka,kila akikojoa tumbo linapungua,,kiukweli anakojoa sana
Tunaendelea kumuombea amini uponyaji umeanza baada ya mateso yote hayo ya muda mrefu
 
Acha Imani potofu. Toka lini magonjwa yanatibika Kwa kuombewa. Ujinga tu Bado unaendelezwa mpaka Karne hii. Ni kituko kanisa kugeuka hospital. Mnatakiwa kushitakiwa Kwa kuzidi kumuangamiza mgonjwa Ili lengo lenu la kumuua litimie Kwa kisingizio Cha maombi wakati watu wengi wanatibika hospital za ndani na nje Nchi . Shame on you
 
Akili matope kabisa. Yaani Toka lini utumbo wa binadamu ukahifadhi chuma. Muwe mnasoma hata kidogo mfumo wa mwili wa binadamu. Hakuna kitu kinaweza kukaa tumboni Kwa muda mrefu na lazima kitoke tu iwe mdomoni au haja kubwa. Jaribu wewe kumeza kufuri halafu hesabu masala uone kama hujajikuta uko hospitali. Mnaleta vitu vya uongo Ili visaidie nini. Jinsi wengi walivyo na Imani potofu wanakubali tu bila kureason. Hii is only in Africa tu. Ajabu sana
Sawa,

Kama hayajakukuta ya kukuta pleas yiba Domo lako,na ukae chonjo,

Kaa kimya.
 
Acha Imani potofu. Toka lini magonjwa yanatibika Kwa kuombewa. Ujinga tu Bado unaendelezwa mpaka Karne hii. Ni kituko kanisa kugeuka hospital. Mnatakiwa kushitakiwa Kwa kuzidi kumuangamiza mgonjwa Ili lengo lenu la kumuua litimie Kwa kisingizio Cha maombi wakati watu wengi wanatibika hospital za ndani na nje Nchi . Shame on you
Mkikaa kimya mnaugua????
 
Dogo anaendelea visuri,lkn analalamika Kuna kitu tumboni kila akienda haha haitoki na anakojoa sana na leo kasema Kuna kitu kilikuwepo chini ya kitovu kimetoka,kila akikojoa tumbo linapungua,,kiukweli anakojoa sana
Huyo mtoto mpelekeni maombi bado hajawa sawa
 
Back
Top Bottom