Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Jichanganye, Penal code section 130 chapter 16 imeeleza wazi na consenquences zake, eti hazichukuliwi Tanzania kwahiyo ni mapambo haya! chukua ushauri kama uko kilingeni kikulambe! sio kila ushauri unapita nao after all wanawake wako wengi why umbake mtu?
Ushahidi wa huo ubakaji utakuwa ni nini tafadhali?
 
Tatizo la kuoana watu wasio na hisia juu yao, ila wakaangalia aspects zingine, matokeo yake ndio haya, Kubakana. Lol
Polee zao.
 
Tatizo la kuoana watu wasio na hisia juu yao, ila wakaangalia aspects zingine, matokeo yake ndio haya, Kubakana. Lol
Polee zao.
Kubakwa vs kupigwa wakati wa shughuli ni mateso hayo
 
Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.

Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.

Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.

Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.

Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Acha kujiuliza maswali, kambaluze tu,.. Anakutaka huyo huyo malaya, hana jipya. Hayo sio mambo ya mwanamke kumwambia mwanaume asie na unasaba nae. Malaya hilo
 
Typing error! Ushahidi unaweza kuwa nini? Na wana upimaje ushahidi kupata ukweli halisi?
Mtu akiwa abused lazima ushahidi ubaki, kama alivutwa kwa nguvu lazima atabaki na alama za purukushani, kama aliingiliwa kwa nguvu lazima kuna maumivu kayapitia atapimwa hospitali, semens zinaweza kupatikana ukeni kwa kutumia swabs, na mengine mengi..
 
Sheria ya Tanzania haitambui ubakaji kwenye ndoa. Hivyo ukiolewa kubali kulowekwa muda wote, na ikitokea umelowekwa wakati unaumwa,
😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom