Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Sio kosa bwana.
Sheria za nchi zinahusikaje kwenye kupeana conjugal rights?
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania (Penal Code, Sura ya 16), suala la mume kumbaka mke wake (marital rape) limekuwa na mjadala mkubwa, lakini kwa sasa sheria ya Tanzania haimtambui mume kama anaweza kushtakiwa kwa “rape” dhidi ya mke wake aliye kwenye ndoa halali katika mazingira ya kawaida ya ndoa.
🔹 Kifungu cha sheria kinachohusiana
Sheria ya Makosa ya Kujamiiana na Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Kifungu cha 130(2)(a) inasema:
“A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or woman not being his wife, or being his wife who is separated from him without her consenting…”

Tanzania Laws
🔎 Maana yake kwa lugha rahisi:
Rape hutokea kama mwanaume amelala na mwanamke ambaye si mke wake, bila ridhaa yake.
AU kama ni mke wake lakini wameachana (separated) kisheria au kiuhalisia.
⚠️ Hivyo nini kinatokea kwenye ndoa ya kawaida?
Sheria ya sasa haiainishi wazi “mume kumbaka mke wake akiwa bado wako kwenye ndoa na wanaishi pamoja” kama kosa la rape.
Hii ndiyo maana inajulikana kama marital rape exemption (kinga ya ndoa) katika sheria ya zamani.
📌 Lakini muhimu kujua:
Hata kama “rape” haihusiki moja kwa moja:
Vitendo vya kulazimisha ngono kwa nguvu, kipigo, au unyanyasaji wa kijinsia ndani ya ndoa vinaweza kushitakiwa chini ya:
Sheria ya makosa ya unyanyasaji wa kijinsia
Sheria ya makosa ya jinai (assault, grievous harm)
Sheria ya Mtoto kama kuna watoto wanahusika
⚖️ Hali ya sasa ya mjadala
Kumekuwa na mapendekezo na kesi mahakamani za kutaka kubadilisha sheria ili marital rape itambuliwe moja kwa moja kama kosa.
Ukipenda, naweza kukueleza pia:
Nchi ambazo tayari zinatambua “marital rape”
Au tofauti ya “rape”, “sexual assault”, na “domestic violence” Tanzania
 
Unabishana na taarifa ya habari utanichosha na conjugal rights zako! Marriage does not automatically give one spouse the right to force sexual relations on the other.. mwanaume unasex na mwanamke wako kwa consent yake tu! Na sheria za tanzania zinafamu hilo!
 
Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.

Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.

Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.

Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.

Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Kwa sheria ya Tanzania, mume hawezi kumbaka mkewe. Sheria yetu ina assume kuwa, mke anapokubali tu kuloewa na mwanaume husika, basi maana yake ni kwamba amekubali kuwa anaingiliwa na huyo mwanaume muda wowote. Japokua, katika nchi nyingi ZILIZOENDELEA, sheria zao ni tofauti, na zinatambua kuwa mke anaweza kubakwa ndani ya ndoa iwapo ataingiliwa na mumewe bila ridhaa yake.
 
anayebakwa ni pisi yake.....
Nop
Unabishana na taarifa ya habari utanichosha na conjugal rights zako! Marriage does not automatically give one spouse the right to force sexual relations on the other.. mwanaume unasex na mwanamke wako kwa consent yake tu! Na sheria za tanzania zinafamu hilo!
Swadakta
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania (Penal Code, Sura ya 16), suala la mume kumbaka mke wake (marital rape) limekuwa na mjadala mkubwa, lakini kwa sasa sheria ya Tanzania haimtambui mume kama anaweza kushtakiwa kwa “rape” dhidi ya mke wake aliye kwenye ndoa halali katika mazingira ya kawaida ya ndoa.
🔹 Kifungu cha sheria kinachohusiana
Sheria ya Makosa ya Kujamiiana na Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Kifungu cha 130(2)(a) inasema:
“A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or woman not being his wife, or being his wife who is separated from him without her consenting…”

Tanzania Laws
🔎 Maana yake kwa lugha rahisi:
Rape hutokea kama mwanaume amelala na mwanamke ambaye si mke wake, bila ridhaa yake.
AU kama ni mke wake lakini wameachana (separated) kisheria au kiuhalisia.
⚠️ Hivyo nini kinatokea kwenye ndoa ya kawaida?
Sheria ya sasa haiainishi wazi “mume kumbaka mke wake akiwa bado wako kwenye ndoa na wanaishi pamoja” kama kosa la rape.
Hii ndiyo maana inajulikana kama marital rape exemption (kinga ya ndoa) katika sheria ya zamani.
📌 Lakini muhimu kujua:
Hata kama “rape” haihusiki moja kwa moja:
Vitendo vya kulazimisha ngono kwa nguvu, kipigo, au unyanyasaji wa kijinsia ndani ya ndoa vinaweza kushitakiwa chini ya:
Sheria ya makosa ya unyanyasaji wa kijinsia
Sheria ya makosa ya jinai (assault, grievous harm)
Sheria ya Mtoto kama kuna watoto wanahusika
⚖️ Hali ya sasa ya mjadala
Kumekuwa na mapendekezo na kesi mahakamani za kutaka kubadilisha sheria ili marital rape itambuliwe moja kwa moja kama kosa.
Ukipenda, naweza kukueleza pia:
Nchi ambazo tayari zinatambua “marital rape”
Au tofauti ya “rape”, “sexual assault”, na “domestic violence” Tanzania
Jichanganye, Penal code section 130 chapter 16 imeeleza wazi na consenquences zake, eti hazichukuliwi Tanzania kwahiyo ni mapambo haya! chukua ushauri kama uko kilingeni kikulambe! sio kila ushauri unapita nao after all wanawake wako wengi why umbake mtu?
 
Kwa sheria ya Tanzania, mume hawezi kumbaka mkewe. Sheria yetu ina assume kuwa, mke anapokubali tu kuloewa na mwanaume husika, basi maana yake ni kwamba amekubali kuwa anaingiliwa na huyo mwanaume muda wowote. Japokua, katika nchi nyingi ZILIZOENDELEA, sheria zao ni tofauti, na zinatambua kuwa mke anaweza kubakwa ndani ya ndoa iwapo ataingiliwa na mumewe bila ridhaa yake.
Na kama anafanyiwa huo ukatili inatakiwa afanyaje maana upo sana unaendelea na wanawake wanashindwa kusema wanabaki kuumia na kuishi na msonho
 
Jichanganye, Penal code section 130 chapter 16 imeeleza wazi na consenquences zake, eti hazichukuliwi Tanzania kwahiyo ni mapambo haya! chukua ushauri kama uko kilingeni kikulambe! sio kila ushauri unapita nao after all wanawake wako wengi why umbake mtu?
Je unawaza kumbaka mke wako wa ndoa mkuu ! So sheria haijasema kwa mtu aliyeolewa hapo so akienda kushitaki inakuwaje hapo nipe ushauri hebu hap
 
Kwa sheria ya Tanzania, mume hawezi kumbaka mkewe. Sheria yetu ina assume kuwa, mke anapokubali tu kuloewa na mwanaume husika, basi maana yake ni kwamba amekubali kuwa anaingiliwa na huyo mwanaume muda wowote. Japokua, katika nchi nyingi ZILIZOENDELEA, sheria zao ni tofauti, na zinatambua kuwa mke anaweza kubakwa ndani ya ndoa iwapo ataingiliwa na mumewe bila ridhaa yake.
Nani kakwambia hizo sheria ni assumptions? kwanini tunazisoma sasa kwenye Penal law? na zinakuwa applicable? kwahiyo precedents zake ni fictious?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom