Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Mtu akiwa abused lazima ushahidi ubaki, kama alivutwa kwa nguvu lazima atabaki na alama za purukushani, kama aliingiliwa kwa nguvu lazima kuna maumivu kayapitia atapimwa hospitali, semens zinaweza kupatikana ukeni kwa kutumia swabs, na mengine mengi..
Kwa sababu hizi kama mtendwa anadhumuni la kushtaki hapaswi kuchelewa kuripoti ili ushahidi usio na shaka upatikane.
 
Sipingi but kumbaka unatumia nguvu nop
Kwenye thread tumesikiliza maelezo ya mwanamke. Ukisikiliza maelezo ya mumewe pia uenda ukabadili mtazamo na kumwona mwanaume sio mkosaji mkuu. Unaweza kukuta mpaka anafikia hatua hiyo alishanyimwa unyumba hata miezi miwili, na kutokana na uaminifu wake akajiziua kutoka nje. Hekima, busara pamoja na kusikiliza pande zote mbili ni mambo ambayo yanahitajika sana kwenye kutolea recommendation haya masuala ya mahusiano
 
Wacha nifanye utafiti soon nitapata majibu ya mume wake tujue tatizo ni nini mrejesho tutapata
 
Kwa sababu hizi kama mtendwa anadhumuni la kushtaki hapaswi kuchelewa kuripoti ili ushahidi usio na shaka upatikane.
Utaratibu upo kama issue ni kubwa akienda kituo cha police, ataanzia dawati la jinsia then utaratibu mwingine utafuatwa!
 
Mtu akiwa abused lazima ushahidi ubaki, kama alivutwa kwa nguvu lazima atabaki na alama za purukushani, kama aliingiliwa kwa nguvu lazima kuna maumivu kayapitia atapimwa hospitali, semens zinaweza kupatikana ukeni kwa kutumia swabs, na mengine mengi..
Pia kesi za namna hii zimekaa kimtegomtego
Sometimes interest za mwamamke kutaka kugawana mali pasipo toiling yoyote anaweza kukupa kesi za namna hiyo kwa ushahidi huo which eventually ni devorce tu.
 
Kwenye thread tumesikiliza maelezo ya mwanamke. Ukisikiliza maelezo ya mumewe pia uenda ukabadili mtazamo na kumwona mwanaume sio mkosaji mkuu. Unaweza kukuta mpaka anafikia hatua hiyo alishanyimwa unyumba hata miezi miwili, na kutokana na uaminifu wake akajiziua kutoka nje. Hekima, busara pamoja na kusikiliza pande zote mbili ni mambo ambayo yanahitajika sana kwenye kutolea recommendation haya masuala ya mahusiano
That good
 
Pia kesi za namna hii zimekaa kimtegomtego
Sometimes interest za mwamamke kutaka kugawana mali pasipo toiling yoyote anaweza kukupa kesi za namna hiyo kwa ushahidi huo which eventally ni devorce tu.
Ushahidi wake ni mgumu namna fulani hivi
 
Pia kesi za namna hii zimekaa kimtegomtego
Sometimes interest za mwamamke kutaka kugawana mali pasipo toiling yoyote anaweza kukupa kesi za namna hiyo kwa ushahidi huo which eventually ni devorce tu.
Kuna separation, divorce labda mkubaliane nyinyi wenyewe! Lakini adhabu yake ya kwanza huwa ni separation!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom