Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,238
- 40,249
Hiyo ni kesi nyingine. Katika situation kama hiyo unamtimua tu. Hakuna majadiliano kwenye suala la mwanamke kuchepuka.Unaweza kuwa na option nyingi,ila itauma pale utakaposikia mkeo anaachia huko nje free huku wewe anakubania.