Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Ni wapi mimi Imhotep nimekashifu Kanzu acha victim mentality.
Huna hoja.Kanzu unaita dera,ni sawa na suruali kuiita skin tight
Dr.David Livingston alikuwa ni Mmisionari wa Kikristo na ndiye aliyeloby serikali ya Uingereza ipige Stop biashara ya utumwa katika Bahari ya Hindi na Afrika ya Mashariki.
Utumwa walioanzisha ni wazungu wa magharib waliwachukuwa utumwani mpaka wazungu wenzao wa mashariki ya ulaya,wengine waliwapeleka nchi za arabuni,asili ya muarabu ni mtu mweusi,hao unaowaona weupe,ni baada ya mababu zao,kuoa wanawake wa kitumwa wa ulaya ya mashariki.Mababu ambao hawakuwaoa hao wazungu,zipo familia zao za watu weusi(waarabu wa asili) mpaka leo,lakini ni wachache,kiko kisiwa kinaitwa Schotra(kiko Yemen,hapo ni waarabu weusi watupu,hawakuoana na watumwa wa kizungu.Na ipo sehemu pia Oman,inaitwa Salalah,hapo waarabu weusi ni wengi tu.
 
Utumwa walioanzisha ni wazungu wa wa magharib
Huwezi kupindisha historia, Trans Saharan Slave Trade na East African Slave trade zilianzishwa na Waarabu Waisilamu.

Biashara ya utumwa ya utumwa kwenye nchi za kiarabu imeendelea hadi miaka ya 80 na 90.
 
Neno "Africa" lilikuwepo kabla ya kuasisiwa kwa Dini ya Kiislamu.
Afrika ni.mfalme wa kiarabu,muarabu asili yake ni mweusi,hao weupe ni mababu weusi(waarzbu wa asili),kuoana na watumwa wa kizukgu wa mashariki,walioletwa na wazungu wa magharibi,kwenye za kiarabu,ndio kukapatikana waarabu weupe.Waarabu wa asili,weusi bado wapo nchi za kiarabu.Kiko kisiwa kinaitwa na Skotrah(Yemen) na mji u‌naitwa Salalah(Oman),wapo wengi.
 
Siyo kila chenye value kiwe economic oriented!
Even kikiwa na social na economic value bado kitabaki kuwa potential.
Kwani wewe kutambua kwamba kufanya ngono zembe kuna athari kwenye afya yako kunakusaidia nini kiuchumi

Siyo kila chenye value kiwe economic oriented!
Even kikiwa na social na economic value bado kitabaki kuwa potential.
Kwani wewe kutambua kwamba kufanya ngono zembe kuna athari kwenye afya yako kunakusaidia nini kiuchumi.
Huna akili

Nikiwa na wanawake tofauti tofauti Kila mwanamke nahonga huoni kiuchumi itaniathiri vipi ?

Nimekwambia wamarekani na nchi nyingi za Magharibi wanatumia toilet papers na Bado wana innovation nyingi unazotumia wewe takataka wa kiislam.

Including hii Internet unayotukia ni ya Wamarekani. Acha kutumia Nenda msikitini
 
Hebu nifafanulie uhusiano wa Algebra na spika?
Kitu chochote unacjokiona kimetengenezwa,duniani,kumetumika mahesabu ya algebra na algorithim,ndio maana dunia neima,mashuleni lazima kusoma algebra na algorithm.
 
Kabla ya uvamizi wa wareno na husda zao kuanzia Somalia mpaka sofala ilikuwa chini ya dola ya kiislamu na uchumi ulikuwa vizuri sana, tuseme hata magofu ya kilwa hauyaoni? yale maghorofa yalijengwa na wamasai?.
Sema dola ya waarabu na utamaduni wao wa kiarabu(uislamu)
 
Kitu chochote unacjokiona kimetengenezwa,duniani,kumetumika mahesabu ya algebra na algorithim,ndio maana dunia neima,mashuleni lazima kusoma algebra na algorithm.
Hebu nielekeze kwenye spika algebra inaingia wapi baada smaku na wire na box.

Au unaongelea spika za msikitini?
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Mnawadharau wazee wetu kiislam hasa hasa wa ukanda wa pwani walionzisha vugu vugu la kutaka uhuru Nyerere alikaribishwa chama cha TAA kikiwa na viongozi wa kiislam watupu...haya makosa waliyofanya wazee kiislam wakina Mzee Suleiman Takadiri msoma dua kabla ya Nyerere hajanza hutuba wakina Mohamed Ramiya mzee Abdul Sykes...wengi tuu ya wazee wa kiislam walikua chachu ya uhuru sasa mnaleta dharau
 
Uzi wa chuki dhidi ya awamu ya Samia japo umefichwa kwa kuuhoji uislam.
 
Katika mema ya uislam ni kuwaleta waislam ambao wengi Wana roho nzuri..
Mfano hata nyakati za urais wa waislam umekuwa ukishuhudiwa kujaa neema na ustawi wa nchi..
JPM aliwachinja sana na wengine kama huyu lopolopo (lisu) alikimbia kabisa nchi..
Sasa mama amewarudisha mfanye siasa Kwa uhuru kabisa na hata mnamkejeli...hivi angekuwa mkristo unafikiri angeruhusu haya?..haya yanafanyika ni ktk neema ya uislam kuwaleta waislam wenye roho nzuri...
 
Mnawadharau wazee wetu kiislam hasa hasa wa ukanda wa pwani walionzisha vugu vugu la kutaka uhuru Nyerere alikaribishwa chama cha TAA kikiwa na viongozi wa kiislam watupu...haya makosa waliyofanya wazee kiislam wakina Mzee Suleiman Takadiri msoma dua kabla ya Nyerere hajanza hutuba wakina Mohamed Ramiya mzee Abdul Sykes...wengi tuu ya wazee wa kiislam walikua chachu ya uhuru sasa mnaleta dharau
Ali Sykes , Abdul Wahab Sykes walianzisha TAA wakamkaribisha Mwalimu Nyerere na kumpa kadi namba moja wao wakichukua namba mbili na tatu, hao ni waislam.

Huwezi kuuongelea uhuru wa Tanganyika bila ya kulitaja kundi kubwa la waislam wenyeji wa Mkoa wa Dar, kina Mshumi Kiyate. Mzee Tambaza, Kaluta Abeid na Hamza Aziz na wengine wengi.

Kuhoji waislam walifanya nini ni kuonyesha kutokuifahamu historia ya Tanganyika. Tatizo la utoto wa mleta mada.
 
Kwa hiyo ile misikiti ya kale kule kilwa ilijengwa na waarabu lakini siyo waisilamu? Hiki kizazi 2000 kazi sana,sijui hata huko shule mlienda kusomea nini
Wewe mwenye elimu ya masjid ndio unayejua huo ujinga kwamba kila mwarabu au utamaduni wa kiarabu ni WA kiislamu kenge wewe
 
Ndio maana tunasema ISLAMOPHOBIA is real

Yaani jambo likiwa zuri ni la Waarabu
Ila likiwa baya ni la Uislam
Islamophobia unaofanywa na waislamu ndio real. Jambo likiwa zuri mnasema uislamu huo likiwa baya mnasema huyo ni mwarabu tu sio muislamu.
 
Neno hili asili yaken Tunisia,Afrka ya magharibi,ndio kulikuwa na mfalme mweusi,Muarabu Afri gu
Tunisia ilikuwa inaitwa Carthage na Waroma mkoa wao wa Roman Empire uliokuwa ukiitwa Aphrica ni Modern day Lybia.
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Jitahidi kusoma vitabu ili uepukane na hii aibu. Inaonekana hujui kabisa historia
 
Ali Sykes , Abdul Wahab Sykes walianzisha TAA wakamkaribisha Mwalimu Nyerere na kumpa kadi namba moja wao wakichukua namba mbili na tatu, hao ni waislam.
👌 kweli kabisa, huwezi kuitaja historia ya Tanganyika bila kuwataja Waisilamu na Wakristo wote waliplay big role katika kulitafutia Uhuru taifa hili.
 
Back
Top Bottom