imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,405
Majini au Spirits Mizungu na Mizimu vilikuwepo kabla ya ujio wa wageni katika Pwani ya Afrika ya Mashariki.Uislam umeleta majini, magaidi, watu double line,
Majini au Spirits Mizungu na Mizimu vilikuwepo kabla ya ujio wa wageni katika Pwani ya Afrika ya Mashariki.Uislam umeleta majini, magaidi, watu double line,
Ukweli utabaki kuwa ni ukweli tu, Wakristo ndio walipiga Stop biashara ya utumwa katika Bahari ya Hindi na pwani ya Waswahili ya Afrika ya Mashariki.![]()
Waefeso 6:5-6 (BHN) - Enyi watumwa, watiini mabwana zenu | YouVersion
Enyi watumwa, watiini mabwana zenu hapa duniani kwa hofu na kutetemeka; fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia Kristo. Fanyeni hivyo si tu wakati wanapowatazama ili mjipendekeze kwaowww.bible.com
mzitaje hizo biashara:umesahau mavaziUisilamu ulileta Biashara na Trade katika pwani yetu ya Afrika ya Mashariki na ndio sababu ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili.
Na biashara ya utumwa,zote zimetajwa na wadau humu chukua muda usome nyuzi nzima.mzitaje hizo biashara:umesahau mavazi
Unatafuta matusiUislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Na uvivu piaUislam umeleta ujinga.
Uvivu ulikuwepo Afrika ya Mashariki kabla ya ujio wa Waarabu.Na uvivu pia
Mbona mikoa ambao haina hawa jamaa watu wanajituma kwenye kazi?Uvivu ulikuwepo Afrika ya Mashariki kabla ya ujio wa Waarabu.
HIvi visima,vinasaidia sana,waislamu na wasio waislamu,na wasio na dini,maji bure,hulipii.Na wapo waislamu wenye uwezo,pia wameweka visima hivi,maji unachota bure.Wamejenga Visima vya maji maeneo yote palipo na misikiti yao
Ukizoea kazi ya Uvuvi maana yake unatega mitego yako halafu unaenda kucheza Bao Samaki wanajaa wenyewe tofauti na huko bara ambako kuwinda mnyama kama Tandala ni kumkimbiza baada kumpiga mshale.Mbona mikoa ambao haina hawa jamaa watu wanajituma kwenye kazi?
Hapana jamaa zetu ni wavivu sn hasa wake zao ni kutwa umbea na taarabu tupuUkizoea kazi ya Uvuvi maana yake unatega mitego yako halafu unaenda kucheza Bao Samaki wanajaa wenyewe tofauti na huko bara ambako kuwinda mnyama kama Tandala ni kumkimbiza baada kumpiga mshale.
Sasa kama Waarabu wavivu wangewezaje kutoka Ghuba za Uajeme kuja Afrika ya Mashariki kufanya Biashara? Unachanganya Stereotype na uhalisia.Hapana jamaa zetu ni wavivu sn hasa wake zao ni kutwa umbea na taarabu tupu
Mkuu tulinganishe mikoa iliyokaliwa na waarabu VS wazungu maendeleo yake yapoje? chukua Tabora, Singida, Tanga, Pwani, Ruvuma VS Kilimanjaro, Mwanza, Mbeya, Iringa, Kagera n.kSasa kama Waarabu wavivu wangewezaje kutoka Ghuba za Uajeme kuja Afrika ya Mashariki kufanya Biashara? Unachanganya Stereotype na uhalisia.
Ni vigezo gani unavyotumia kusema watu ni "wavivu"?!Mkuu tulinganishe mikoa iliyokaliwa na waarabu VS wazungu maendeleo yake yapoje? chukua Tabora, Singida, Tanga, Pwani, Ruvuma VS Kilimanjaro, Mwanza, Mbeya, Iringa, Kagera n.k
Dar kwa hovyo? We una akili kweli? Dar ni jiji la kabila au dini gani?Masikini ni huko mashambani kwenu mlikotokea na ndo mana mnakwenda kwenu kuzikana na sikukuu zenu tu.
Mkimaliza tu mbio mnakuja Dar unakodai kwa hovyo. Si mtulie kwenu na sie tuwafate?
Hata neno Alphabet,ni la kiislamu,wazungu hawana,alphabet zao,wanatumia za kilatini,wakati waislamu wana alphabet zao.Vitu vingi sana kuanzia hesabu hadi medical science ,vifaa vingi unavyoviona leo mahospitalini alivumbua mtu anaitwa zahrawi ambaye vitabu vyake hadi leo bado wazungu wanatumia kufundishia ulaya
Algebra etc vyote hivyo walileta muslim scholars
Kabisa mzee sikupingi💯Na uvivu pia