Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Umeelezea vizuri.Hata hii jf,tunaochat na vingine vyote,vilivuotengenezwa,bila Mohammed Musa Al Khawarithim,aliyegundua algebra,inayotumika kwenye IT,dunia ingekuwa gizani.Ikulu yako ya magogoni ilikuwa madrasa!
Ustaarabu wa usafi wa mwili umeletwa na Uislam, huko kwenu ushenzini mpaka leo wanachambia majani!
Haki, ndoa, mahusiano uvaaji wa nguo umeletwa na Uislam.
Mapishi yote yote yameletwa na Uislam..
Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..
Wahitaji zaidi?
Mbali ya kugusia Algorithim,alioleta mwamba huyu.