imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,404
Na kuosha K kabla ya tendo la ndoa.Karafuu, kahawa na Tende.
Na kuosha K kabla ya tendo la ndoa.Karafuu, kahawa na Tende.
Alaah kumbe?Na kuosha K kabla ya tendo la ndoa.
ISLAMOPHOBIA is real among usuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Na kuvaa Dera bila nguo za ndani ili kuchombeza Ashki.Alaah kumbe?
Wee em sema kweli?!Na kuvaa Dera bila nguo za ndani ili kuchombeza Ashki.
ISLAMOPHOBIA is real among us
UISLAM ndio nini na una husika vipi na maendelo? Fafanua mkuu kwasababu Uislam haujawahi kuitawala Tanganyika
Hivi nikikwambia “Uislam” umeleta maendeleo makubwa Moroko, Algeria, Misri, Tunisia Libya utakubaliana na mimi?
Na ni wapi huko Ukristo, Uyahudi, uhindu nk ulifika na maendeleo yakawa ni ya DINI? Au hii ni kwa Uislam pekee
Tuliza kichwa na jifunze historia kwa utuo mkuu
Usikurupuke kwa chuki zako za udini
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uvivu, husda, uchokozi, chuki na dini ya Kiislamu..Duniani umeleta mapigano tu. Kote ulipoenea kuna machafuko tu, Fauda
Wameleta ushoga ukitaka kuamini njoo Zanzibaruislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Kingine kopo la kuchambia chooni ndio hilo hilo la kunawia uso..Na kuosha K kabla ya tendo la ndoa.
Walikuwa waarabu sio waislamu. Mbona mnajibu mambo ya warabu badala ya kusema uislamu ulileta nini!!Umejibu vizuri na wakumbuke kuna miji mikubwa ilizariwa kutokana na Uisilamu, kama vile Kilwa ikiwa na ustalabu wa kutosha,mfano Vasco dagama alipofika Kilwa aliikuta ni Inchi ikiwa na muundo wa utawala wa selikari pamoja na hera yake,yaani kulikuwa na ustarabu wa kutosha, na ilikuwa ikifanya biashara na inchi za mbali lakini walipokuja wazungu wenye wivu kama wewe mleta maada waliiangamiza ile miji ili kufuta historia zake waweze kutuletea huu ujinga ambao unaitwa demokrasia,
Wakati mjerumani anaivamia bara kutoka zanzibar aliwakuta kina Abushiri,Milambo,Mkwawa na wengine wakiwa wanajua kuandika na kusoma kwa lugha ya kiarabu na wamestarabika na huo ustarabu ulitokana na Uisilamu,ila walioandika histori yetu waliipotosha ili ioneka walikuta watu wajinga kama wewe mleta maada,
Zanzibar ilikuwa na kila kitu mpaka na ubalozi,Treni,Shule,Vyuo, Vitabu maghorofa, hiyo sababu ya Uisilamu,lakini hapo Mzizima Daresalam yalikuwa mapori yakiwa na simba,kumbuka Sultani ndiye aliyekuja kujenga Ikulu ya Daresalam hapo magogoni badaye sanaaa,
I
Kuchamba kwa maji kwa ujumla tumeletewa na Uisilamu.Kingine kopo la kuchambia chooni ndio hilo hilo la kunawia uso..
Wakiristo wameleta nini?uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Sasa kwanini wewe unataka nchi yako iliyotawaliwa na Uk na Ujerumani iwe na maendeleo yatakayoletwa na Uislam na sio watawala ambao ni influenced na ukristo?hapana, moroko, tunisia, algeria & co. ni Christian french influenced na siyo islamic, kwanza north afrika yote ilikuwa chini ya roman empire kabla ya uvamizi wa waarabu na kuleta uislamu, isitoshe hizo nchi ulizozitaja siyo dola ya kiislamu bali ni french ni kama zanzibar tu ambapo >98% muslims lkn haifwati (zanzibar) islamic system bali zanzibar ni 100% english system.
nchi ya kiislamu ni kama irani, pakistani, somalia, sudani, afghanistani &co.
irani hata inaitwa islamic republic lkn irani kabla ya mapinduzi ya kiislamu yalioondoa utawala chini ya shah, irani ilikuwa rich civilized country …
shah (pichani) wa irani kabla hajapinduliwa na waislamu na kuunda islamic republic
View attachment 3286067
Hizo nchi ulizozitaja kwa sasa ni majority Muslims.hapana, moroko, tunisia, algeria & co.
Ndio maana tunasema ISLAMOPHOBIA is realWalikuwa waarabu sio waislamu. Mbona mnajibu mambo ya warabu badala ya kusema uislamu ulileta nini!!
Walikuja kupiga marufuku biashara ya Utumwa katika Mwambao wa Afrika ya masharilkiWakiristo wameleta nini?
Uislam ni tamaduni na njia ya identification kama ulivyo Uafrika. Uafrika mpaka dakika hii umefanya nn afrika?
Ndio maana tunasema ISLAMOPHOBIA is real
Yaani jambo likiwa zuri ni la Waarabu
Ila likiwa baya ni la Uislam