Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Mbin
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Mbona Prophet Mohammed alikuwa hajui kusoma Wala kuandika
 
Kama haujui uislam umekuletea nini tanzania hadi africa hauna sababu ya kusema umesoma ila utakuwa ni msomi usie na faida.
 
Nimesoma comments nione walau mvaa kobaz hata mmoja anayeweza kutetea au kueleza chochote cha maana.
Uislamu umesababisha uzembe pwani.
 
Walikuwa waarabu sio waislamu. Mbona mnajibu mambo ya warabu badala ya kusema uislamu ulileta nini!!
Kwa hiyo ile misikiti ya kale kule kilwa ilijengwa na waarabu lakini siyo waisilamu? Hiki kizazi 2000 kazi sana,sijui hata huko shule mlienda kusomea nini
 
Katika mambo yote, ni huu UTAMADUNI walio tuletea ambao sasa tunaona matokeo yake toka kwa viongozi wetu kama tuliye naye sasa.
Huu utamaduni wa kulaghai laghai watu; kutumia lugha laini huku mambo mazito yanayoigharimu nchi yakifanyika kisiri siri. Tabia ya kutokuwa wazi juu ya jambo analonuia kulifanya kiongozi au mtu na UNAFIKI mwingi.
Haya mambo ya UCHAWA sasa hivi ni sehemu ya tamaduni hizi tulizo letewa na watu wa nje kupitia kwenye dini zao.
 
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Uislam umemleta mama+AZAM+WACHEZAJI MASHUHURI+WASANII=uislam.Miaka 1000
 
Hizi mada za dini mpaka zinachosha sasa,kikubwa tuangalie kama kuna mazuri yalikuja na hizi dini tuyabebe kama kuna mabaya tuyaache kwa sababu vyovyote iwavyo umeshakuwa kama utamaduni wetu hatuwezi kujivua muhimu ni kuchagua wisely!!!
Hili ni bandiko moja zuri sana.
 
Uisilamu ulileta Biashara na Trade katika pwani yetu ya Afrika ya Mashariki na ndio sababu ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili.
Sio kuzaliwa acha kupotosha.

Ni kukua, ilichukua baadhi ya maneno toka kwa waarabu walioleta usilamu!!

Na ndio maana maandishi ya kiarabu na kiswahili ni tofauti kabisa, sarufi yake ni tofauti.
 
Wamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..
Ndio maana azam wanaajiri waislam weng kwa sababu wanajua akili za kikrist0
 
Ni kukua, ilichukua baadhi ya maneno toka kwa waarabu walioleta usilamu!!

Na ndio maana maandishi ya kiarabu na kiswahili ni tofauti kabisa, sarufi yake ni
Muingiliano wa wenyeji na waarabu ambao walikuwa ni waislam ndio kulizaa lugha ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom