gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,225
- 17,686
Afrika mashariki watumwa walikua Kati ya laki nane mpaka milioni,katika hao zaidi ya nusu waliuziwa wazungu, wazungu walipoacha kuhitaji watumwa biashara ikafaMnajitahidi sana kujaribu kukanusha historia ya Waarabu/Waislamu na utumwa katika Afrika ya Mashariki.