Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Neno Afrika ni jina la mfalme wa kiarabu,MuislamuKwa logic yako ni kwamba hata jina "Africa" imeanzishwa na WagirikiRoman kwahiyo Africa ni ya Wagiriki na Waroma?
Neno Afrika ni jina la mfalme wa kiarabu,MuislamuKwa logic yako ni kwamba hata jina "Africa" imeanzishwa na WagirikiRoman kwahiyo Africa ni ya Wagiriki na Waroma?
Neno "Africa" lilikuwepo kabla ya kuasisiwa kwa Dini ya Kiislamu.Neno Afrika ni jina la mfalme wa kiarabu,Muislamu
Akilima mahindi kwa sababu gani? Kwa sababu Quran imemuambia alime mahindi au akilima mwenyewe tu?Muislam akilima mahindi ni uislam umelima mahindi,akizini uislam umezini!?
Huu ndio ukweli,hata katika utalii Bagqmoyo,Pwani,Tanga,Kilwa,wameacha majumba na sehemu za kihistoria za kitalii,tunaingiza mapato.Mnyonge mnyongeni, lakini mchango wa maneno ya kireno ni kidogo sana mchango wa Lugha ya Kiarabu ni mkubwa.
Neno KISWAHILI pia limetokana na neno la Kiarabu SAHEL au SAHIL.
Hauwezi kuitaja Historia ya Pwani ya Afrika ya mashariki bila kutaja mchango wa Waarabu na Waisilamu.👈 👉fact
Walileta ustaarabu na pia walileta unyama wa biashara ya utumwa.Huu ndio ukweli,hata katika utalii Bagqmoyo,Pwani,Tanga,Kilwa,wameacha majumba na sehemu za kihistoria za kitalii,tunaingiza mapato.
Bila Mohammed Musa Al.khawarithim,kupitia ugunduzi wake wa algebra ,kusingekuwepo na spika.Mkristo kaleta spika ya msikitini Muisilam akaleta azana😁
Biashara ya utumwa ni wazunguWalileta ustaarabu na pia walileta unyama wa biashara ya utumwa.
Hebu nifafanulie uhusiano wa Algebra na spika?Bila Mohammed Musa Al.khawarithim,kupitia ugunduzi wake wa algebra ,kusingekuwepo na spika.
Wazungu ilikuwa ni Afrika ya Magharibi tunaongelea Afrika ya Mashariki.Biashara ya utumwa ni wazungu
Kwa hiyo itaniuma roho kisa mgunduzi ni muislam? Naona hauko serious. Hujui kwamba vitu vingi hapa Duniani wagunduzi ni wakristo wazungu hadi kukatokea msemo, "Dunia ya Mungu vitu vya mzungu"Hata hiyo ndege bila algebra na aligorithm,isingekuwepo.Kuanzia
1.Computer Science
2.Engineering
3.Economics
4 Nk
Vyote vinategemea ugunduzi wa Mwamba huyu Mohammed Musa Al khawarithim.
Na dunia nzima,wanasoma Algebra(kitabu chake alkiita Al jabri),na lazima pia usome Algorithim.
Ukitumia chochote kilichotengenezwa,kinatokana na Algebra,algorithim,ni Mwamba huyu,Muislam Mohammed Musa Al khawarithim.Huyu pia ndio aliyegundua namba 1 2 3 4 5 6 7 8 9,na ndio kokote duniani zinaitwa arabic numbers,japo waarabu pia wana namba zao nyingine na wana alphabet yao,ambazo ndio alphabet za kiislamu,wanazofundishwa madrasa(school au sule kwa kijerumani).
Hapa tukitumia Ingormation technology,bila ugunduzi wake,tusingrkuwa na jf wala whatsapp wala facebook wala online business wala simu.
Hii itakuumiza moyo,kuona muislamu ndio amegundua Algebra(jina la kitabu chake al jabri,kwa kilatini wameandika algebra) na algorithim(jina lake la ukoo Al khawarithim,imeandikwa kwa kilatini)
Watu wakilima kabla Quran haijafika pwani ya afrika masharikiAkilima mahindi kwa sababu gani? Kwa sababu Quran imemuambia alime mahindi au akilima mwenyewe tu?
Eti wakristo,nimekupa andiko la kitabu kitakatifu cha ukristo kikitukuza utumwa,kuna maandiko maovu kuliko hayo kuhusu utumwa kwenye biblia,waliopiga marufuku utumwa ni walewale walioanzisha na kuukuza utumwa afrika,waingereza,baada ya mapinduzi ya viwanda,nguvukazi haikuhitajika,mashine zilichukua nafasi,bila hivyo watumwa/biashara ya pembe tatu ingeebdelea,hakuna ukristo hapoUkweli utabaki kuwa ni ukweli tu Wakristo ndio walipiga Stop biashara ya utumwa katika Bahari ya Hindi na pwani ya Waswahili Afrika ya Mashariki.
Wakati huohuo Waarabu na Waislamu walikuwa wakifanya magendo ya biashara ya utumwa kwa siri.
Msome Mmissionary David Livingston.
Dr.David Livingston alikuwa ni Mmisionari wa Kikristo na ndiye aliyeloby serikali ya Uingereza ipige Stop biashara ya utumwa katika Bahari ya Hindi na Afrika ya Mashariki.Eti wakristo,nimekupa andiko la kitabu kitakatifu cha ukristo kikitukuza utumwa,kuna maandiko maovu kuliko hayo kuhusu utumwa kwenye biblia,waliopiga marufuku utumwa ni walewale walioanzisha na kuukuza utumwa afrika,waingereza,baada ya mapinduzi ya viwanda,nguvukazi haikuhitajika,mashine zilichukua nafasi,bila hivyo watumwa/biashara ya pembe tatu ingeebdelea,hakuna ukristo hapo
Huna hoja.Kanzu unaita dera,ni sawa na suruali kuiita skin tight au koti kuliita blouse.Kwa wenye maarifa watakucheka.Ni wapi mimi Imhotep nimekashifu Kanzu acha victim mentality.
Rudi kwenye ile comment yangu kaisome tena please usifanye mambo kwa jazba.Huna hoja.Kanzu unaita dera,ni sawa na suruali kuiita skin tight.
wewe ni mtamu kuliko tende..Umeleta tende