Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Ikulu yako ya magogoni ilikuwa madrasa!
Ustaarabu wa usafi wa mwili umeletwa na Uislam, huko kwenu ushenzini mpaka leo wanachambia majani!
Haki, ndoa, mahusiano uvaaji wa nguo umeletwa na Uislam.
Mapishi yote yote yameletwa na Uislam..

Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..

Wahitaji zaidi?
 
Fafanua zaidi please.
Shikamoo maana yake nashika miguu yako /nipo chini ya miguu yako
Ukiangalia hiyo maana inabeba zile tabia za waarabu kuta kuabudiwa/kusujudiwa enzi hizo na biashara yao ya utumwa dhidi ya watumwa
Nimejaribu tu
 
Duniani umeleta mapigano tu. Kote ulipoenea kuna machafuko tu, Fauda
 
Hayo ni matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Nyerere,unazani ingekuwepo ile Zanzibar ya Sultani wa Zanzibar Tanganyika ingeona ndani leo hii,kweli wajinga wengi sana, Zanzibar ilikuwa zaidi ya Dubai watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali ya Afrika kwenda kusoma Zanziba,historia inaweza kuhalibiwa na watu kwa makusudi na wajinga wakaja kutukana
Yaani wazanzibar badala ya kumpeleka watoto nursery wao wanashindisha watoto madrasa. Baadae matoto yanakuwa yanajua mambo ya mudi tu hayajui math, science, English then unasema ni matokeo ya mapinduzi na Nyerere? Hebu rudi kidogo hapa unieleweshe. Mi naona elimu ya zenji ni dhaifu kisa kuendekeza uislam we unasema kisa ni Nyerere na mapinduzi. Kivipi mkuu??
 
Shikamoo maana yake nashika miguu yako /nipo chini ya miguu yako
Ukiangalia hiyo maana inabeba zile tabia za waarabu kuta kuabudiwa/kusujudiwa enzi hizo na biashara yao utumwa
Nimejaribu tu
"Shika" au "kushika" ni neno la Kibantu,hiyo "Moo" ndiyo sijui asili yake.
 
Uislamu umeleta stara
Stara kwa mujibu wa Uisilamu lakini Waafrika walikuwa na Mila na Desturi zao sio mpaka kuvalishwa hijabu ndio stara.

Wahimba wa Southern Africa mpaka leo hawaamini katika hiyo "stara".
himba-woman-in-traditional-clothes-near-epupa-falls-kunene-region-namibia-2B04YG3.jpg
 
Hayo ni matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Nyerere,unazani ingekuwepo ile Zanzibar ya Sultani wa Zanzibar Tanganyika insigeona ndani leo hii,kweli wajinga wengi sana, Zanzibar ilikuwa zaidi ya Dubai watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali ya Afrika kwenda kusoma Zanziba,historia inaweza kuhalibiwa na watu kwa makusudi na wajinga wakaja kutukana
 
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Soma article hiyo chini kutoka kwa wajerumani wakikiri in middle ages waislamu na waarabu ndio walikuwa wameendelea kisayansi hadi ikapelekea maneno mengi ya english na kijerumani kuchukuliwa kutoka kwenye lugha ya kiarabu

uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
wewe una kipaji cha upumbavu
 
Wacha weeeeeeeeh.... Ustaarabu wa vigodoro, ushoga, umaskini,ujinga, kubeba mabusha, uvivu, unywaji kahawa siku nzima.... Angalia maeneo yaliyojawa na waislamu hata Dar.ni maeneo ya watu waswahili maskini. Temeke, Buguruni kwa mnyamani, tandale,mbagala,vingunguti,mburahati. Asilimia 80 plus kumejaa waislamu.
Masikini ni huko mashambani kwenu mlikotokea na ndo mana mnakwenda kwenu kuzikana na sikukuu zenu tu.
Mkimaliza tu mbio mnakuja Dar unakodai kwa hovyo. Si mtulie kwenu na sie tuwafate?
 
Nafaka nyingi kama Uwele Mtama asili yake ni Afrika sio kwamba sisi tulikuwa ni wakuletewa tu sisi pia tuliuza bidhaa zetu kwao haswa Bara Hindi.
 
Ikulu yako ya magogoni ilikuwa madrasa!
Ustaarabu wa usafi wa mwili umeletwa na Uislam, huko kwenu ushenzini mpaka leo wanachambia majani!
Haki, ndoa, mahusiano uvaaji wa nguo umeletwa na Uislam.
Mapishi yote yote yameletwa na Uislam..

Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..

Wahitaji zaidi?

kama ni kweli ulivyosema how come nchi za kiislamu ni the poorest dunia hii? top bottom countries zote yemeni, syria, afghanistan, somalia, irak, sudani, mali, mauritania, chad zote full of muslims, kwa nini unafikiri? hata nchi chache ambazo zina waislamu zinazofanya vizuri zilianzishwa na Western Christians kama uae, qatar au hata malaysia na indonesia, lkn nchi zinazofwata uislamu kama way of life ziko back ward kama irani au pakistani kabla ya islamic revolution chini ya shah ilikuwa (irani) prosperous mpaka ilipopindiliwa na uislamu sasa hivi ni pariah state, kwa nini uislamu umeshindwa kuendeleza huko kwa waislamu kama ulioyaandika yana ukweli wowote? ?
 
Yaani wazanzibar badala ya kumpeleka watoto nursery wao wanashindisha watoto madrasa. Baadae matoto yanakuwa yanajua mambo ya mudi tu hayajui math, science, English then unasema ni matokeo ya mapinduzi na Nyerere? Hebu rudi kidogo hapa unieleweshe. Mi naona elimu ya zenji ni dhaifu kisa kuendekeza uislam we unasema kisa ni Nyerere na mapinduzi. Kivipi mkuu??
Unajua ukitaka kukielewa kitu weka chuki pembeni,mfano ni mdogo tu,Dubai ilikuwa na maisha duni sana,na kalibu asilimia 100 ni Waisilamu,walipogundua mafuta ndipo inchi ikapiga hatua kubwa kiuchumi,na siyo kwamba waliacha kuwafundisha watoto zao madrasa kama unavyosema, mpaka leo wanafundishwa elimu ya Dini.
Baada ya kuona mafuta yamebakisha miaka michache kuisha wameanzisha biashara ya utalii kupitia faida ya mafuta, hao ni Waisilamu pure
Nakuja kwako sasa,sisi tuna madini chungu nzima gramu moja ya dhahabu bei yake ni kubwa kuliko pipa la mafuta na tuna madini mengi mchanganyiko lakini mpaka leo sisi maskini,hiyo elimu yako ya mzungu unayoisema imetusaidia nini?
 
Bila uislamu ile rafudhi ya ma sheikh ( mnyazimungu,sherwani etc) ungeisikia wapi? Acha dharau bhana...bila uislam ungeisikia wapi neno ugaidi?
 
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Minazi na mitende.
Ila kimsingi uislamu ulileta upuuzi na ujinga chuki na utendano baina ya watu weusi.
 
Kitu kingine kibaya kilicholetwa na Uislamu ni siasa kali msimamo mkali ambao huishia kwenye ugaidi na hii phenomenon ni ya hivi karibuni.

Lakini Uislamu umeleta mazuri mengi tu katika Pwani hii ya Swahili Coast.

Tusiogope kuyasema yote.
 
Miti yote maarufu ya matunda ililetwa na waislamu pamoja na mazoo ya biashara.
Sio kweli,Wareno ambao walikuwa ni Wakatoliki walileta mazao pia kutoka South Amerika hadi Swahili Coast yakowemo mahindi na korosho.
 
Back
Top Bottom