Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Good observation
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Uhuru
 
Hili la kujilipua na kujitoa mhanga nilikilifikiria nachoka kabisa.

Nikiendelea kufikiria kuhusu majini ndio hamu inaniisha.

Anyway, nawaombea hawa ndugu zangu wapate neema ya kuijua njia ya kweli.
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Umefundisha usafi na ustaarabu, umefundisha mkisha jisadia haja kubwa mtumie maji kujisafisha, muache kujisiriba na makarasi.🤣🤣🤣
 
Kabla ya uvamizi wa wareno na husda zao kuanzia Somalia mpaka sofala ilikuwa chini ya dola ya kiislamu na uchumi ulikuwa vizuri sana, tuseme hata magofu ya kilwa hauyaoni? yale maghorofa yalijengwa na wamasai?.
Walikuwa wakiishi waafrika? Kwenye hayo magofu?
 
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Kusoma na kuandika kiarabu kumewasaidia nini waislamu wa Tanzania kimaendeleo?
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Jinalako linasadifu ujinga ulotopea kichwani mwako, nenda kadeki vyumba vya mabwana zako ndio kazi unayoijua JF Sio mahala pako.
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Ulitaka huo uislamu ukuletee nini?

Fanya kazi Kwa bidii dogo

Achana na hoja za kipumbavu
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Tende.
 
Vipedo
 
Uislam umeleta majini, magaidi, watu double line,
 
Back
Top Bottom