Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Uisilamu ulileta Biashara na Trade katika pwani yetu ya Afrika ya Mashariki na ndio sababu ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili.
Umejibu vizuri na wakumbuke kuna miji mikubwa ilizariwa kutokana na Uisilamu, kama vile Kilwa ikiwa na ustalabu wa kutosha,mfano Vasco dagama alipofika Kilwa aliikuta ni Inchi ikiwa na muundo wa utawala wa selikari pamoja na hera yake,yaani kulikuwa na ustarabu wa kutosha, na ilikuwa ikifanya biashara na inchi za mbali lakini walipokuja wazungu wenye wivu kama wewe mleta maada waliiangamiza ile miji ili kufuta historia zake waweze kutuletea huu ujinga ambao unaitwa demokrasia,
Wakati mjerumani anaivamia bara kutoka zanzibar aliwakuta kina Abushiri,Milambo,Mkwawa na wengine wakiwa wanajua kuandika na kusoma kwa lugha ya kiarabu na wamestarabika na huo ustarabu ulitokana na Uisilamu,ila walioandika histori yetu waliipotosha ili ioneka walikuta watu wajinga kama wewe mleta maada,
Zanzibar ilikuwa na kila kitu mpaka na ubalozi,Treni,Shule,Vyuo, Vitabu maghorofa, hiyo sababu ya Uisilamu,lakini hapo Mzizima Daresalam yalikuwa mapori yakiwa na simba,kumbuka Sultani ndiye aliyekuja kujenga Ikulu ya Daresalam hapo magogoni badaye sanaaa,
I
 
Hizi mada za dini mpaka zinachosha sasa,kikubwa tuangalie kama kuna mazuri yalikuja na hizi dini tuyabebe kama kuna mabaya tuyaache kwa sababu vyovyote iwavyo umeshakuwa kama utamaduni wetu hatuwezi kujivua muhimu ni kuchagua wisely!!!
 
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Miti yote maarufu ya matunda ililetwa na waislamu pamoja na mazoo ya biashara.Ndio maana hiyo miti inaonekana sehemu za mwanzo kustaarabika na zilizokaliwa na waislamu.
Kumbuka kabla ya kuja wazungu waislamu pekee ndio waliokuwa wasafiri kuizunguka dunia.
Swali lako lina majibu tele humu humu pamoja na hivyo ni bora upewe utangulizi kidogo kwani umemaliza shule mwaka jana.
 
Kudhani kwamba uislamu umeleta ujinga
Mimi nimesema hivo sio kwa kudhani, ni kweli kabisa. We nenda kwenye websites za matokeo uone shule za zenji zinavyozalisha vilaza. Kila mwaka zinakuwaga za mwisho. Hiyo inatokana na kutokuzingatia mambo ya shule wao kila kukicha ni madrasa tu kufundishana upuuzi.
 
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
kweli tupu👿
 
Hizi mada za dini mpaka zinachosha sasa,kikubwa tuangalie kama kuna mazuri yalikuja na hizi dini tuyabebe kama kuna mabaya tuyaache kwa sababu vyovyote iwavyo umeshakuwa kama utamaduni wetu hatuwezi kujivua muhimu ni kuchagua wisely!!!
Ni nzuri ili tuweza kuwaelimisha wengine,kuna inchi zilikuwa na Ustarabu mpaka wakoloni wenyewe walishanga,kuna Nyumba wanajua Mzungu na ukristo ndivyo vilivyoleta ustarabu, umeshawahi kusikia historia ya Misri? Mungu mwenyewe anamwambia nabii Ibrahimu,usikae bure tembeatembea ukaone wenzako walivyostarabika,anafika Misri na kukutana na bonge la mji likiwa na kila kitu,mpaka wakamya'nganya mke wake Sala?
 
uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Umeleta maumivu tuu, imagine mtu anaamua kujilipua anasema atapata thawabu kweli jaman,
 
Dini ni utamaduni wa jamii husika. Waarabu na uislam, Wazungu na ukristo, Waisrael na Judaism nk, sisi Waafrika tulidandia gari kwa mbele tuliacha vya kwetu tukafata vya watu wengine. China au japan wana dini zao na ndio wanaotengeneza mashangingi tunayojidai nayo, wahindi wanaabudu ng'ombe tukiumwa tunakimbilia kwa waabudu ng'ombe
 
Back
Top Bottom