Muislam akilima mahindi ni uislam umelima mahindi,akizini uislam umezini!?Muislamu ni nani?
Kusoma na kuandika ni utamaduni.
Literacy.
Waislamu wengi hata leo hawajui kusoma na kuandika na tunaambiwa hata mtume Muhammad hakujua kusoma wala kuandika.
Utumwa
Kanisa lilijengwa sehemu iliyokuwa ni soko la Binadamu wa Kiafrika, acha upotoshaji.
Somo la History ni muhimu sana linaepusha maswali ya kijinga kama haya. Inashangaza serikali kutolifanya somo la lazima.Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Si ndiyo nyie mnasema uislam ni mfumo kamili wa maisha toka unaamka mpaka unalala? Toka unazaliwa mpaka unakufa? Shida iko wapi wakisema hivyo?Muislam akilima mahindi ni uislam umelima mahindi,akizini uislam umezini!?
Muislam akilima mahindi ni uislam umelima mahindi!?Si ndiyo nyie mnasema uislam ni mfumo kamili wa maisha toka unaamka mpaka unalala? Toka unazaliwa mpaka unakufa? Shida iko wapi wakisema hivyo?
Kabisa. Ni mfumo kamili wa maisha huoMuislam akilima mahindi ni uislam umelima mahindi!?
Akili huna, mkiristo akizini ni ukristo umezini!?Kabisa
Tena?Akili huna
Mkristu akizini ni ukristo umezini?Tena?
Kwa hiyo Uislam siyo mfumo kamili wa maisha toka kuzali moaka kufa? Toka kuamka mpaka kulala?
Sijawahi kuwasikia wakidai kuwa ni mfumo kamili wa maisha kama UislamMkristu akizini ni ukristo umezini?
Ameuliza uislam, siyo ukoloni.husomi historia mkuu, wameleta karafuu
Aisee akiweza kujibu hili swali lako usisahau kunitagHao Makafiri kwanini wasikimbilie Ujiji Kigoma walipojaa Waarabu koko na Waislam kibao!? Hao unaowaita makafiri hapa Dar hawajawafata Waislam ila walifata fursa ya kijiografia ya eneo hili ambayo hao wenyeji (waislam) hawakuitumia. Kwa maana nyingine makafiri ndo wameleta hayo maendeleo unayojivunia
Vipi kuhusu matajiri 10 wa duniani ni WaislamCivilization imeanzia pwani na kusambaa huko bara barani.
Pia reflect sasa hapa nchini mwetu companies na viwanda vikubwa vinamilikiwa na waislam.
Misikitii Mkuuu na urithi wa Mabikiria 72 wakifa mkuuuUislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Hata kutawaza baada ya maliwato ni civilization kutoka pwani.Vipi kuhusu matajiri 10 wa duniani ni Waislam
Vipi kampuni 10 Bora Kwa Market Cap kubwa ni za kiislam?
Vipi nchi zenye uchumi mkubwa duniani ni za kiislam?
Hawezi kulazimisha kitu ambacho sio kiumbe hai kifanye mambo kama kiumbe hai. Hivi vitu haviwezi kuulizwa vimefanya nn mana sifa ya kutenda au kufanya ni ya kiumb3 kinachoishi.Usingemjibu mjinga ukilumbana nae nawe unakua mjinga yy lengo ni kutukana watu sasa mwache hawezi kukaa live wiki nzima atachoka sasa muulize hizi nyuma wanazoishi waislamu sisi tumejengewa na ukristo kwa mawazo yake ukristo ni alfa na omega mwacheni huko huko