Hivi Ugonjwa wa mama mkwe unanihusu kweli?

POLE SANA!
Hongera na ushukuru Mungu umeweza kutoa msaada hadi hapo ulipofikia,Pili kujibu swali lako,ugonjwa wa Mama Mkwe unakuhusu NDIO,nikiangalia tatizo kubwa kuliko yote Hapo ni ushirikiano kati ya wewe na mkeo,ni dhahiri hampo same team,Sasa kama ni hivyo mtashindwa hata kama ukiendelea kusaidia mama sababu inaonyesha hata mkeo hajui financial status uliyonayo,Kwanza muunganishe mkeo on ur team jambo ambalo badala ya kupretend kwenye mapambio ungelifanya mwanzo msingetumia pesa zote hizo coz yeye ndiye angewawajibisha hao ndugu wengine kuchangia hata ingekuwa laki/50 kulingana na uwezo wa mtu,however!badala ya kufanya maamuzi yatakayo mchukiza Mungu,Wazazi wenu,ndugu zenu,na wanaJf ambao ukisoma baadhi tayari wamechukizwa wanaita 3mil vimilioni,fanya hivi mweke wazi mkeo na muanzishe kamati kama zile za harusi jadilianeni namna ya kumsaidia mama.Mungu Awatangulie pia badala ya mapambio kuweni serious muombe Mungu awatoe katika hili mapambio mwachieni Mbasha.
 
Salaam zenu wakuu,

Mambo ya ndoa ni mengi mno kwa kweli ukiamua kuwa mtoto mtiifu kwa mke ni tabu ukisema uendelee na uzinzi bado ndoa haiwi na amani, sasa sijui mtu ufanyeje. Ni kama mwezi umepita nimeamua kuacha dhambi zote zilizokua zikimkasirisha Mungu na mke wangu, for the past one month kama sikosei nimekua nikirudi saa moja kamili home, sijagusa pombe wiki ya tatu sasa, wakianza mapambio yao usiku nami nipo ingawa nakua kimya tu.

Sasa pamoja na kuonesha tabia nzuri kiasi hiki nikiamini ndoa itatulia kumbe wapi, mama mkwe wangu kaja wiki mbili zilizopita kwa ajili ya matibabu, kwa kweli ana hali mbaya alipewa rufaa kuja muhimbili, tatizo kubwa ni gharama za matibabu ambazo zipo juu mno, alipofika tu alifanyiwa vipimo mbali mbali katika hospital ya Agakhan baada ya huduma na vipimo kusuasua sana wakati mwingine wakwambie kipimo flani kimeharibika hivyo akahamishiwa Agakhan .

Wakati wanamwamishia agakhana mm nilidhani wana uwezo wa kulipia gharama kumbe hawana, Agakhan huwa wanataka deposit ya one million kabla ya admission, wife akanigeukia mimi nilipe hiyo hela, sikua nayo wakati huo nikaenda town kutoa kwenye akaunti yangu huku nikiugulia moyoni. Baada ya wiki wakamtoa, wamemwamishia burhani hospital ambayo bei zake si kama agakhan lakini bado zipo juu. Hadi anatoka Agakhan nimeshatumia 3.2 million

Jumamosi nimewatamkia wazi ndani kwamba siwezi tena, mgonjwa anatakiwa achujwe damu kwa mashine maalum kila siku kadhaa, burhan wametaka vipimo upya kwa gharama zingine tena bado madawa na kadhalika. Nilikua na ka akiba kangu benki sasa kamepungua kwa kiwango ambacho ni alarming na shule zinafunguliwa mwazo wa July, kwetu kijijini mzee wangu anaishi na dawa za pressure kila siku lazima ziwepo nanunua pakti nzima 32,0000 kila mwezi, yaani muda si mrefu naweza ku run mad, sio kwamba sina hela kwenye akaunti ila sasa ndo tunatumia akiba hivyo ambayo hutusaidia kwa msingi sana kama ada uendeshaji wa nyumba.

Na bahati mbaya insurance kazini inatuhusu, mm, make na watoto tu, tangu Jumamosi nilipotoa tamko la kutoendelea na hizo gharama nyumba imegeuka kosovo, wanandugu wa wife wamekusanyika hapo nazungumzwa vibaya asubuhi hadi jioni mimi na mwenzangu hatuzungumzishani tunapishana tu ameninunia. Maajabu ni kwamba mwezi wa nne nadhani, tulipokua na matatizo na wife yaliyosababishwa na mimi hao hao ndugu walimshauri aachane na mimi kwamba miim ni mzinzi sasa Leo mama yao angetibiwa na nani hadi kufika hapo?

Gharama zote tangu mama huyo anaondoka ugweno kwa Gari ya kukodi hadi dar ni mimi. Sasa wanataka kunipangia maisha yangu?Niliyoyafanya yote hayana maana? Kumbe ningemkataa from day one angekua ameshajifia siku nyingi tumezika. Nina hasira sana kwa kweli Kwanza naona nikawatimue wote sitaki mtu kwanguHivi hii ni haki kweli? Familia imejaa wanaume kwa wanawake lakini wanashindwa kutibu mama yao?

Najua cha kufanya ngoja

japo unaugulia lakini
imenibidi nicheke kw UANDISHI WAKO HUU
 
Jamaa zangu wengi walioa wapare ndoa zinawatesa sana. Mnaloga sana flora
 
TUMEKUWA WAZARAM SIE WALA SI WAPARE WOTE KUNA PARE ambazo zina kiwango cha juu cha ulozi....

pole mleta uzi lakin.pia hapa sijaona dalili za ulozi sanasan a amesema mapambio
 
Mleta uzi analalamika budget yake ya bia imepungua. Haha
 
Let's make things clear.
1. Gharama ulizotumia over 3 millions ndio gharama zote?
2. Mkeo anafanya kazi gani?
3. Hao ndugu zake wengine wanafanya shughuli gani na kipato chao kikoje?
4. Do you love your wife?
5. Mkeo kesharecover from being cheated on?
6. How bad umekuwa ukimtreat mkeo wakati una michepuko yako?
7. Do you think your wife loves you?
 
Wewe jamaa utakuwa mzoefu sana wa masuala ya ndoa
 
....Najua cha kufanya ngoja.... nimependa hili hitimisho...

Jamaa ana shida jamani? Ila kinachouma ni kwamba mke hatambui mchango wake? Kama still anajifanya atambui umuhimu wako.pigs chini mkuu.tatizo letu tunajifanya tunawaheshimu.watoto wakati we we unaishi maisha yasiyo na furaha.piga chini kaka.the whole family.au jikaze kiume usilalamike....
 
Kwanza iyo issue ingekuwa kwenye makabira yetu ya bara.ingekua bora mama afe kuliko kuhudimiwa na shemeji wakati vikana wapo.
 
Duh ishakuwa taabu sasa una mpango gani na hiyo familia !.Ingekuwa mgonjwa ni Mama yako mzazi ungelalamika ?.
 
Let's make things clear.
1. Gharama ulizotumia over 3 millions ndio gharama zote?
2. Mkeo anafanya kazi gani?
3. Hao ndugu zake wengine wanafanya shughuli gani na kipato chao kikoje?
4. Do you love your wife?
5. Mkeo kesharecover from being cheated on?
6. How bad umekuwa ukimtreat mkeo wakati una michepuko yako?
7. Do you think your wife loves you?
Mtoa mada jibu haya maswali ya msingi
 
Salaam zenu wakuu,

Mambo ya ndoa ni mengi mno kwa kweli ukiamua kuwa mtoto mtiifu kwa mke ni tabu ukisema uendelee na uzinzi bado ndoa haiwi na amani, sasa sijui mtu ufanyeje. Ni kama mwezi umepita nimeamua kuacha dhambi zote zilizokua zikimkasirisha Mungu na mke wangu, for the past one month kama sikosei nimekua nikirudi saa moja kamili home, sijagusa pombe wiki ya tatu sasa, wakianza mapambio yao usiku nami nipo ingawa nakua kimya tu.

Sasa pamoja na kuonesha tabia nzuri kiasi hiki nikiamini ndoa itatulia kumbe wapi, mama mkwe wangu kaja wiki mbili zilizopita kwa ajili ya matibabu, kwa kweli ana hali mbaya alipewa rufaa kuja muhimbili, tatizo kubwa ni gharama za matibabu ambazo zipo juu mno, alipofika tu alifanyiwa vipimo mbali mbali katika hospital ya Agakhan baada ya huduma na vipimo kusuasua sana wakati mwingine wakwambie kipimo flani kimeharibika hivyo akahamishiwa Agakhan .

Wakati wanamwamishia agakhana mm nilidhani wana uwezo wa kulipia gharama kumbe hawana, Agakhan huwa wanataka deposit ya one million kabla ya admission, wife akanigeukia mimi nilipe hiyo hela, sikua nayo wakati huo nikaenda town kutoa kwenye akaunti yangu huku nikiugulia moyoni. Baada ya wiki wakamtoa, wamemwamishia burhani hospital ambayo bei zake si kama agakhan lakini bado zipo juu. Hadi anatoka Agakhan nimeshatumia 3.2 million

Jumamosi nimewatamkia wazi ndani kwamba siwezi tena, mgonjwa anatakiwa achujwe damu kwa mashine maalum kila siku kadhaa, burhan wametaka vipimo upya kwa gharama zingine tena bado madawa na kadhalika. Nilikua na ka akiba kangu benki sasa kamepungua kwa kiwango ambacho ni alarming na shule zinafunguliwa mwazo wa July, kwetu kijijini mzee wangu anaishi na dawa za pressure kila siku lazima ziwepo nanunua pakti nzima 32,0000 kila mwezi, yaani muda si mrefu naweza ku run mad, sio kwamba sina hela kwenye akaunti ila sasa ndo tunatumia akiba hivyo ambayo hutusaidia kwa msingi sana kama ada uendeshaji wa nyumba.

Na bahati mbaya insurance kazini inatuhusu, mm, make na watoto tu, tangu Jumamosi nilipotoa tamko la kutoendelea na hizo gharama nyumba imegeuka kosovo, wanandugu wa wife wamekusanyika hapo nazungumzwa vibaya asubuhi hadi jioni mimi na mwenzangu hatuzungumzishani tunapishana tu ameninunia. Maajabu ni kwamba mwezi wa nne nadhani, tulipokua na matatizo na wife yaliyosababishwa na mimi hao hao ndugu walimshauri aachane na mimi kwamba miim ni mzinzi sasa Leo mama yao angetibiwa na nani hadi kufika hapo?

Gharama zote tangu mama huyo anaondoka ugweno kwa Gari ya kukodi hadi dar ni mimi. Sasa wanataka kunipangia maisha yangu?Niliyoyafanya yote hayana maana? Kumbe ningemkataa from day one angekua ameshajifia siku nyingi tumezika. Nina hasira sana kwa kweli Kwanza naona nikawatimue wote sitaki mtu kwanguHivi hii ni haki kweli? Familia imejaa wanaume kwa wanawake lakini wanashindwa kutibu mama yao?

Najua cha kufanya ngoja

Heheheeee jmn sio la kucheka ila hitimisho mie hapanaa niacheni tu nichekeee hahahahaaaa.... Haaarikaaa Wapare wabahili hata kwa mama yao!
 
Mpaka huyu bwana amekuja kulalamika hapa ujue kuna tatizo. Wewe mwenzetu inawezekana hujakumbana na matatizo kama hayo. Amekwambia hao ndugu wa mke, wamehamia kwake, na inaonekana hawana msaada wowote kwenye familia ndio maana ametumia hizo pesa ulizoziita vimilioni 3. Huoni hapo ameshatoa msaada mkubwa? Na unaweza kukuta pesa wanazo, lakini wanasema ngoja tumkomoe huyu ----. Kwa hiyo, tusimuhukumu hapa.

Ni kweli mkuu huyo anadharau sana.vimilion 3, kauli c njema kbx na c ajabu akawa anaish ukwen
 
Back
Top Bottom