Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

True Man11

Member
Joined
Oct 14, 2022
Posts
95
Reaction score
139
Wakuu mpo salama humu??

Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.

Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

Mkristo.
 
nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu.
nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

mkristo.
Yeye anataka umuoe nani?

Kupata mke ni kazi ngumu sana kuliko kupata pesa.

Kuwa makini usirudi hapa kulialia mwezi mmoja baada ya harusi.

Kila la kheri
 
Wakuu mpo salama humu??

Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.

Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

Mkristo.
Wewe furahia maisha mzee hayo mambo mengine yanakuja automatic
 
Utaolewa wewe sasa, kwa kuwa anachotaka mama ni mkwe. Kama huwezi kumletea mdada basi kuna dume liko mahali linakumega
 
Wakuu mpo salama humu??

Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.

Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

Mkristo.
Angalia mmoja ya binamu zako, huenda akakufaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom