Lol...hivi wanaume huwa hawapewagi mafunzo kabla ya ndoa eeh...hebu nichangamkie fursa mimi..maana on a seious note sio kila mwanaume anafaa kuwa mume...
Ummeonaeeee
Mjinga mpaka anatia huruma
Lol...hivi wanaume huwa hawapewagi mafunzo kabla ya ndoa eeh...hebu nichangamkie fursa mimi..maana on a seious note sio kila mwanaume anafaa kuwa mume...
Kuna lugha na namna ya kufikisha mawazo husika kwa mwenye matatizo nae akakuelewa hata kishingo upande, bt aman hiwepo. Ila jamaa ana hasira sana
kuna nn kwetu
Wacha masimangu ndugu pesa zipi hizo unazoongelea wewe milion 3 unaweza fananisha na uhai wa mtu achilia mbali mama aliyekuzalia mke?
Kama unauwezo fanya kadiri ya uwezo wako na bila kulalama iko siku hata wewe utakuja hitaji msaada wa namna yeyote kutoka kwa wanafamilia hiyo...
Tuko tofauti sana mimi na familia ya ukweni kwangu wamekuwa kama ndugu zangu tulozaliwa nao tatizo likiwa juu ya uwezo wangu tutakaa tudiscuss tujue tutafanyaje...si kulalama na vi milion 3..
Kuna tym hua nikisoma post zako zinanichukiza napita kimya kimya.. ila hili leo naomba nikupe LIKE laki nane!!!
Usimbebeshe migo usiokuwa wake kwa vile wewe haukuhusu.
1. Pole sana. . . . . Lakini mkeo anajua uwezo wako sidhani kama anafanya asilolijua au mzee ulijivika u boss de boss siku ulipoenda kuoa??!!
2. Mkweo anakuhusu kabisa ila badala ya kususa waite shemeji zako wa kiume hao ndio mnaweza kuongea mkaelewana sababu na wao wana familia na koromeo kama wewe "perspective" ya kiume mtaelewana fasta.
3. Wageni kama wengi timua kweli kama ni kuuguza watatokea makwao kwanza si kalazwa wao wanafanya nini kwako, wabaki wawili wanaolala hospitali wengine pyeeee kwao
4. Endelea kuchangia kwa uwezo wako bila kuathiri zaid maslahi ya wanao ila kamwe usimsuse mama wa mke wako
Lastly; Kuwa mume mwema na baba wa familia sio favour kwa mkeo ni wajibu wako
Yap mtu yoyote yule anaweza kujoin ni very cheap asee.....Hiyo bima ya NHIF ni mtu yoyote anaweza pata hata Kama si muajiriwa sehemu?
Namtafutia mzazi wangu private health insurance, Ila si mfanyakazi Ila anaweza kulipia.
Mwenye kujua anijulishe.
Mkuu umeoa upareni? Pole sana