Kampeleka ndugu yake awe balozi wa nchi yetu huko kwa wajomba zake anakoficha hela wanazotuibia!! Huyu mama jangili kweli kweli.siku ile amejitwalia madaraka salamu ya kwanza ya pongezi ilitoka Oman au haukuwa ukifuatilia?
Kampeleka ndugu yake awe balozi wa nchi yetu huko kwa wajomba zake anakoficha hela wanazotuibia!! Huyu mama jangili kweli kweli.siku ile amejitwalia madaraka salamu ya kwanza ya pongezi ilitoka Oman au haukuwa ukifuatilia?
Kufa kwa Nyerere sio hoja hoja ni mifumo aliyoisimika katika Serikali hii miaka 20 ya utawala wake kaua na kuwafunga wote waliokuwa na fikra za kujitenga na Tanganyika na kutaka mamlaka kamili ya Zanzibar hadi leo kifo cha Abeid karume kina utata wa nani kahusika na mauaji yaleKiswahili kinakupiga chenga? Wapi nimesoma kwa jazba?
Nimekuuliza hayo mamlaka kamilii mnapewaje? Mnapewa lini? Mnataka kuyadai lini? Msipopewa mnafanyaje?
Nyerere alishakufa toka 1999, waliobaki ni nyie chukueni hayo mamlaka au muyadai mpaka mpewe wala hakuna kujificha kwenye kichaka cha nyerere
Mimi sio sehemu ya utawala hivyo siitawali Zanzibar, pia sijawahi kulialia kuhusu zanzibar. Sijawahi kuona faida wala hasara ya muungano na Zanzibar. Matokeo yoyote kwangu ni sawa. Hoja yangu kwako ilikua pale uliposema Zanzibar ni wastaarabu ndio nikaja na hizo hoja
So??siku ile amejitwalia madaraka salamu ya kwanza ya pongezi ilitoka Oman au haukuwa ukifuatilia?
Wapewe mamlaka kamili wajitenge na mafisadi ccm uone ustaarabu wao uko wapi kwa sasa huwezi kuuona kwa akili zako hizo za kitanganyikaNimekuuliza huo ustaarabu Zanzibar uliuona lini ikiwa tayari unasema Zanzibar imeshaathiriwa na muungano toka 1964?
Kwa hiyo mnasubiri nyerere afufuke aje kuwarudishia hayo mamlaka?Kufa kwa Nyerere sio hoja hoja ni mifumo aliyoisimika katika Serikali hii miaka 20 ya utawala wake kaua na kuwafunga wote waliokuwa na fikra za kujitenga na Tanganyika na kutaka mamlaka kamili ya Zanzibar hadi leo kifo cha Abeid karume kina utata wa nani kahusika na mauaji yale
hama uislamNi chuki tu dhidi ya Uislam na Waislam ukichanganya na husda.
Nimekuuliza hayo mamlaka wanasubiri kupewa na nani? Na wanapewa lini?Wapewe mamlaka kamili wajitenge na mafisadi ccm uone ustaarabu wao uko wapi kwa sasa huwezi kuuona kwa akili zako hizo za kitanganyika
Sasa Zanzibar Ina Uhuru gani hadi wazuie mafisadi Bank kuu ipo Tanganyika, mahakama kuu ipo Tanganyika, TRA ipo Tanganyika, Jeshi la wananchi na jeshi la ulinzi wa raia lipo Tanganyika
Rais wanapangiwa awe nani kwa wakati gani hapo watatoboa kweli
2001 wazanzibari walidai utaifa wao matokeo yake wakapewa jina la ugaidi na udini wengi waliuliwa na mkapa wengine wakafungwa maisha na jeshi la Tanganyika ndio lililotumika kuwanyamazisha kwa kuwaua ndio maana hizi kelele zenu za kudai utanganyika wanaziangalia tuKwa hiyo mnasubiri nyerere afufuke aje kuwarudishia hayo mamlaka?
Nyerere hayupo, karume hayupo, kazi ni kwenu kudai mamlaka nachochote mnachotaka, msipodai basi msubirini endeleeni kumlaumu nyerere na msubiri afufuke aje kuwapa mamlaka
Upo kwa masheik machawaHumu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Kwa hiyo baada ya 2001 mmeacha kudai? Mnasubiri mje kupewa kwenye sahani?2001 wazanzibari walidai utaifa wao matokeo yake wakapewa jina la ugaidi na udini wengi waliuliwa na mkapa wengine wakafungwa maisha na jeshi la Tanganyika ndio lililotumika kuwanyamazisha kwa kuwaua ndio maana hizi kelele zenu za kudai utanganyika wanaziangalia tu
Utofauti ni kuwa wanaodai Tanganyika safari hii na kuinjinia maandamano hawaitwi MAGAIDI ndio nashangaa mimi
Wapigane ili wagundue nini na sasa hivi vilio vinasikika upande wa pili ni zamu ya waandamanaj kuipigania Zanzibar awamu hii wao wanakula urojo tu wakisubiri mamlaka kamili bila hata ya kutoka jasho achilia mbali kutoka damuKwa hiyo baada ya 2001 mmeacha kudai? Mnasubiri mje kupewa kwenye sahani?
Jambo lolote la haki hupiganiwa bila kujali madhala yatakua kiasi gani, Taleban alikomaa na marekani kwa miaka mingi
Palestine miaka 70 sasa anakomaa na Israel. Uitwe gaidi au mhaini hayo hayajalishi, wewe kama unajua hiyo ni haki yako basi idai
Kama huwezi kuona hata vitu vidogo kama hivyo basi unamatatizo ya ubongoHumu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Kwa hiyo Zanzibar inasubiri mamlaka kamilii? Kama ni hiivyo sasa mbona ulikua unalaumu? Mi nilijua bado hamjafanikiwa, yani umeleta mjadala mrefu kwa kitu ambacho almost mshafanikiwaWapigane ili wagundue nini na sasa hivi vilio vinasikika upande wa pili ni zamu ya waandamanaj kuipigania Zanzibar awamu hii wao wanakula urojo tu wakisubiri mamlaka kamili bila hata ya kutoka jasho achilia mbali kutoka damu
Nalaumu nini?Kwa hiyo Zanzibar inasubiri mamlaka kamilii? Kama ni hiivyo sasa mbona ulikua unalaumu? Mi nilijua bado hamjafanikiwa, yani umeleta mjadala mrefu kwa kitu ambacho almost mshafanikiwa
Sio Zanzibar tu hata mimi nikiwa siku raisi watu wote wataogelea kwenye maziwa na utajiri mkubwaNalaumu nini?
Nilichosema ni kuwa Zanzibar ikipata mamlaka kamili ndani ya miaka 20 inatoa misaada kwa Tanganyika
Sasa kumbe ulikuwa wabisha nini hadi kutoa mifano ya Somalia na SudaniSio Zanzibar tu hata mimi nikiwa siku raisi watu wote wataogelea kwenye maziwa na utajiri mkubwa
Mkuu hiyo niliyofanya ni dhihaka labda kama hujaelewa. Namaanisha kama unaweza kuota vile na mimi pia naweza kuota hivyoSasa kumbe ulikuwa wabisha nini hadi kutoa mifano ya Somalia na Sudani
Hakuna Mwislam mlevi
hama uislam