Hivi treni ya kuelekea Moshi bado ipo? Mwisho wa mwaka tunaanza kupanga safari

Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?

Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.

Sabato njema!
Si uko naye karibu huko bwasheh

Kwanini usimulize au unaogopa makelebu 😂

Ova
 
Ila jiwe apumzike huko aliko eti vichwa vya tren vikaokotwa TZ vituko ni vingi sana
Wameviokota halafu wakavinunua pesa za ununuzi alipokea wap hicho ndo kitendawili hadi leo..lakini serikali ilitoa bajet ikavinunua
 
Back
Top Bottom