Hivi treni ya kuelekea Moshi bado ipo? Mwisho wa mwaka tunaanza kupanga safari

Mbona ipo
Boss bora were umesema!!Maana watanzania wengi ni wanafiki na hii haipendezi kwa kweli!!Nchi hii ni yetu sote na kama kuna kizuri serikali imefanya,basi unaipongeza na siyo kutoa taarifa za uongo!!Hili in jukwaa LA kujadili mambo yenye uzito kwenye jamii yetu katika hali ya ukweli na uhakikisho na sio kupeana taarifa zisizo kweli!!!
 
Yalinunuliwa na watu wa kigoma au yana chapa maalum ya kigoma? Kwani ndege inayofanya route ya mwanza haiwezi kufanya na route ya mbeya.?
Utakuwa akili yako ndogo kama ya Ndugai. Hata daladala na mabasi yana route zake. Tajiri akiwa na mabasi 3 ameyasajili route ya Dar - Mwanza hakuna namna ukayaona njia ya Tanga -Bukoba
 
Utakuwa akili yako ndogo kama ya Ndugai. Hata daladala na mabasi yana route zake. Tajiri akiwa na mabasi 3 ameyasajili route ya Dar - Mwanza hakuna namna ukayaona njia ya Tanga -Bukoba
Kwa hiyo hadi yanakufa hayawezi kubadilishiwa route? We kweli boya la maji ya mavi.
 
Jini jiwe ndiyo futuhi. Cheki anavyoaibishwa na aliyekuwa makamu wake
Ni kweli anaaibishwa na aliyekuwa makamu wake maana kwa sasa rushwa imerudi, uwajibikaji wa uma hakuna tena, usimamizi wa pesa ya walipa kodi haueleweki, umeme ni mgao, maji ni mgao, miradi imesimama. Kweli Jiwe anaaibika.
 
Siyo kama unavyojaribu kumpamba jiwe. Aibu ya jiwe ni kufanya mambo ya kiinimacho kwa kutaka sifa
 
Back
Top Bottom